yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka Shajara (Diary) Yangu 2 June 1991

    KUTOKA KWENYE SHAJARA YANGU 2 JUNE 1991 Huenda msomaji utakachosoma hapo chini ukaona hakina maana kwako. Kwangu mimi hayo niliyoandika yamenipa jibu la swali lililokuwa likinitaabisha kwa muda mrefu. Hapo chini nimeandika sentensi mbili katika diary yangu tarehe 2 June 1991: "June 2, 1953...
  2. JamiiForums Tanzania Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

    Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto nyingine kwa wazoefu na wataalamu kuhusu Binti yangu

    Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza. Changamoto...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata kadi mpya CRDB endapo kadi yako ya zamani imeisha muda wake?

    Kama kadi yangu ya CRDB imeexpire, ni unachukua muda gani kupata kadi mpya tena? Kwa mdau yeyote anayefahamu anijuze.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada:Namba zinazopiga simu yangu zinaelekezwa kwenye namba nyingine( diverted)

    Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine. Nawezaje kuitoa hii. NB: nimejaribu...
  6. JamiiForums Tanzania Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

    Habari za humu ndani wakubwa na wadogo . Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba anataka apake rangi kabla mpangaji hajahama, hii ni sawa?

    Baada ya muda mrefu kuishi kibahili bahili licha ya kuajiriwa taasisi yenye mshahara na posho si haba, Rafiki yangu kaweza kukamilisha nyumba yake. Hapo majuzi alienda kumuaga mwenye nyumba kwamba nae amejenga na ni muda sasa umefika nae aende kuishi kwenye nyumba yake, Lengo lilikuwa ni kuaga...
  8. JamiiForums Tanzania Mwambieni Katelephone, bahari hii siyo ile. Hii hawahitajiki samaki wenye meno ni ama ayang'oe au ajifanye hana!

    Nadhani tunaelewana kwamba kwenye ukumbi huu dj ni mmoja TU! Na muziki unaotakiwa kuchezwa humu ni taarabu TU au mziki wowote wenye mahadhi ya kingazija! Haiitajiki kelele au kutupatupa mikono ama kuruka majoka. Ma dj wetu kutoka bara wamechemka wakapigwa benchi, si mnamkumbuka lukuvo na...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tatu Bora yangu ya Wanachama Bora JF kwa 2022

    Peace be upon you Wana JF Hakuna kitu kizuri kama kushukuru, kusifu na kukubali karama waliyonayo wenzako. Naongea hili Kwa maana ni tatizo kubwa hapa kwetu nikimaanisha kwenye tasnia mbalimbali kwenye uandishi, michezo, muziki na nyinginezo. Leo hii ndugu zangu tupo hapa tulipo kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi. Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
  11. JamiiForums Tanzania Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

    Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla. Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha amani ya moyo na akili yangu. Ni hivi mama yangu mzazi alikufa huku akitambua kua mimi mwanae...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Sugu 2025 tumia bajeti ya kile unachoweza kuhimili ukipoteza

    Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

    Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano. Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
  14. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Habari ya weekend JF. Mpenzi wangu nimempa ujauzito. Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu. Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo. Sasa leo asubuhi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya kufungia mwaka 2022

    Nawewe tupia yako
  17. JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  18. JamiiForums Tanzania Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

    Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana. Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na...
  19. JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  20. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Wanajukwaaa wazima nyie? Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro. Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…