yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kufanya recover wa taarifa katika simu yangu

    Habarini ndugu zangu Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead. Niende kwenye mada moja kwa moja. mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Jana nimepoteza kaka yangu niliyekuwa namfuatia; yeye alikuwa anaishi kijijini ambako ameishi tangu aliporudi vitani mwaka 1980. Alikuwa mtu mzima sana; kinachonisikitisha zaidi ni sababu ya kifo chake. Alikwenda kunywa pombe za kienyeji na kendelea kunywa kwa siku mbili mfululizo bila kula...
  5. JamiiForums Tanzania Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

    Habar za jumamosi wana-jamiiforums, Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kujiuzuru rasmi Kuizungumzia Simba SC yangu kwa Nguvu zangu zote hapa JamiiForums, kwani imeshanichosha sasa

    Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    Moja kwa moja kwenye mada Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Vodacom wameniibia hela kwenye account yangu ya M-pesa

    Mnamo March 2024, nilituma hela kwa mtu nkaambiwa haikufanikiwa kwenda. Baada ya siku kama kumi, nikagundua Salio langu limepungua tofauti na transactions nilizofanya, Baada ya kujiridhisha nikawapigia simu huduma kwa wateja wakaniambia hela ilienda ila haikukatwa kwenye account yangu, nikahoji...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

    Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?" Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa. Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi" Ndio tunajiuliza serikali imekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye Ndoa yangu sitamsumbua mtu kwa michago na kadi

    Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi. Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache. Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu. Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow...
  16. JamiiForums Tanzania High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

    Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia. Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu. 1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali...
  17. JamiiForums Tanzania Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    SALAM MKUU. Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA. Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary. Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  19. JamiiForums Tanzania Endapo yanga wakikata rufaa naikagundulika ni goli, betpawa wanilipe pesa yangu nilibetia yanga ashinde

    Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii...
  20. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…