High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia.

Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.

1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali uhitajio wa gharama gani kutumia kufikia kuwa expart wa hiyo taaluma. eg Graphic designer, Programing, and etc

2. Mentors wengi walio fanikiwa ntawapata wapi wa hizo taaluma ambazo zina waweka mjini.

3. What is the energy fuel can resolve this my problem.

4. And last what is the business correspond with this skills which can pay me full.
 
Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali...hata wale mashabiki wezangu poleni pia.
Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu...
Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.

1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali uhitajio wa gharama gani kutumia kufikia kuwa expart wa hiyo taaluma.
eg Graphic designer,Programing, and etc
2.Mentors wengi walio fanikiwa ntawapata wapi wa hizo taaluma ambazo zina waweka mjini.
3.What is the energy fuel can resolve this my problem.
4.And last what is the business correspond with this skills which can pay me full.
Programming aisee. Hii kitu ukiwa unajua sio kujua vitu juu juu pesa ni nje nje. Mpaka leo sielewi developers wanaosema hawana kazi unless kama wanajua vitu juu juu na hawana cha kumwonyesha mteja.
 
In the world that changes like never before you need to be multi-skilled ; even then you need to be more of a salesman more than anything...

We live in a World in which its not the Best Product which makes it rather the one which is marketed / promoted more
 
Mimi Ni mdau wa nairaland unaweza kwenda kule kujifunza pia

kwenye kufanikiwa Ni kua na ambition na Jambo lako nisawa na kua V8 engine..
Nakuja kwenye mada,

Inabidi uwe na basics ya graphics designing
unaweza kujifunza hata online mkuu ngoja waje wajuvi
 
Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali...hata wale mashabiki wezangu poleni pia.
Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu...
Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.

1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali uhitajio wa gharama gani kutumia kufikia kuwa expart wa hiyo taaluma.
eg Graphic designer,Programing, and etc
2.Mentors wengi walio fanikiwa ntawapata wapi wa hizo taaluma ambazo zina waweka mjini.
3.What is the energy fuel can resolve this my problem.
4.And last what is the business correspond with this skills which can pay me full.
Mi ntakupa easy business skills unayohitaji ili uwin...

Jifunze kufunga electric fence, na pia cctv cameras... Utapiga hela Hadi ukimbie
 
fanya programming mkuu...
choose one tech stack and die with it e.g backend development, front end development or data
join tech communities...
attent tech meetups zoote utakutakana na wakali kibao....
pesa itakuja ukishakuwa na skills za kutosha...
 
Uchawa na kuwa mtu wa ovyo ndio valuable skill nchi hii .
Hata zile tech incubators za Costech naona mpaka sasa hazina impact yoyote , technology na skills zake haziwezi kuwa valuable kama hamna strong market ya products zinazotokana na hivyo vitu tena kwa nchi kama hii .
Utawaza labda ni crack codes nitengeneze app ya kuwezesha kufanya online purchases Kwa watu ,je ni kweli hapa Bongo kuna hiyo demand ? , hata attitudes Tu za watu zilivyo nchi hii , wabongo washazoea kutembea na makaratasi ya noti na imekuwa ngumu kuwabadilisha attitudes zao .
Na hata uchumi wa watu ni wa kuunga unga na super glue
 
Ndio maana hii nchi uchumi wake ni uchumi wa vibanda vya fremu na biashara nyingine za kuigana kama hizo.
Uchumi duni ,sera duni , hapo lazima hata sekta ya technology na uvumbuzi iwe duni tu
 
Sio kwa Bongo hii
Unaongea kirahisi kwa sababu hauko kwenye ulingo wa kusaka ajira au deals ,
Bongo hii nchi ni mfu
Sio naongea kirahisi kwa sababu siko kwenye ulingo wa kusaka ajira, naongea kwa experience mkuu mimi nina zaidi ya miaka kumi sijawahi kuajiriwa toka nimalize chuo mkuu. Ndio game ngumu but kuna fursa kibao kwa watu ambao wanajua kweli sio wanaojuajua.
 
"The talk is cheap "
"The walk is expensive"
 
bongo skills ya kukupa hela haraka haraka ni content creation tena za upuuzi puuzi

content creator ndio wanaopata hela bongo bila kutumia nguvu kubwa.

Vitu vigumu huwa havilipi kwa mazingira ya bongo
 
Back
Top Bottom