yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

    Wana-JamiiForums, habari za majukumu Naja mbele yenu nikiomba msaada wa hali na mali wa kupata dondoo yoyote itakayoniwezesha kumpata baba yangu mzazi ambaye sijawahi kumwona tangu nizaliwe. Naitwa Pendo Gervas Kalilo, na kwa sasa sipo nchini Tanzania lakini kiu yangu kubwa ni kumfahamu baba...
  2. JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari yangu inadaiwa faini ya Polisi, inaonesha ilitozwa Mlandizi wakati sijawahi kufika huko

    Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki. Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

    Jamani Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu Your token has expired Awali nilifanya yafuatayo kuondoa 1. Nikiingia kwenye dot tatu kulia mwa address ya web nikaenda setting ku delete catches, cookies nk 2. Nili reflesh site...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ananieleza kuhusu china athari za mabwawa,kingo za mito mifumo ya kulazimisha kubadili mvua ndio wanapata tabu

    Wachina ni watu wenye kujua vitu vingi ila wanapitiliza mpaka waliowafundisha wanaona kama wao ni wajinga. Dunia inatabia moja kama masikio.Binadamu walikuta dunia inaweza kukabiri mfumo ila tatizo la wanadamu wanataka kuitengeneza kama kichwa cha mlevi mwisho wa siku dunia itashindwa kuelewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kero yangu kubwa ya dawa za mitishamba kuna baadhi ni dawa chungu au zenye kinyaa hazinyweki kirahisi, waweza kutapika

    Nakumbuka hapo zamani nikiwa na 15 niliwahi kuumwa, basi katika kuzunguka kupata suluhisho nililetewa dawa ya asili Ni majani unayachemsha yanakuwa kama chai ya rangi Niliponyanyua kikombe na kukiweka kinywani, ilipogusa ulimu nilishusha kikombe Kwa kujua dawa hio hainyweki kirahisi wengi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Akili yangu inaniambia kuna watu wapo serious mno na mustakabali wa hili Taifa

    Kuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu. Tazama kwa mfano, 1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa Taifa-CHADEMA. 2.Kukomaa na NO REFORMS NO ELECTION mwanzo mwisho!. 3. Kugoma maridhishano n.k I...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

    Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa.. Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa marafiki zake...
  10. JamiiForums Tanzania Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

    Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

    Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba...
  12. JamiiForums Tanzania Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

    Ndugu zangu wanajf, Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana. Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa. Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini...
  13. JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS. Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
  14. JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, nauza monitor yangu 🙏 naombeni msaada wenu

    ...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nimefiwa na dada yangu Oliva 25 Jun 2026 tunasafirisha kwenda Njombe

    Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026 dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji familia .Tunasafirisha kwenda Njombe ndio nyumban. Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Eng James...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaofanana na mindset yangu mbona ngumu kuwapata? Je, anapatikana vipi?

    Mindset yangu ni, Kufocus na biashara, Nidhamu ya pesa, Kuwekeza, Kutunza pesa kabla ya matumizi, Kutokata tamaa, Malengo ya muda mrefu, Kuzingatia bajeti, Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya mapato, .. Kujenga mtandao wa watu wenye hizo mindset, Changamoto ni moja ni kua watu wa jinsi hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

    Kuna uzi nimuuona unahusu Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera” Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto! Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile Kuufuatilia...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna jirani yangu muda wa kustaafu ulitakiwa 2025 ila kaombwa mpaka 2030.Ina maana gani Kwa Tanpol

    Jirani yangu hapa alistaafu mpaka na sherehee tukafanya ila bado anaendelea na bonus za kutosha. Ina maana cha kuwalipa pesa kubwa mkaona sasa wabaki waendelee kuwatetea CCM mfike mpaka 2030.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…