yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kusumbua chaji ni langu peke yangu?

    Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda. Naombeni uzoefu wenu watu...
  3. JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
  4. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Dalali/Mwanamasoko kwa ajili ya app/software yangu

    Habari wanaJF, Salam nyingi kutoka Morogoro Tanzania. Nimemaliza siku salama, na natumaini mambo yenu yanaenda Nina series of softwares nlizotengeneza kwa ajili ya kurahisisha kazi kwq wateja wangu na wateja wao. Hizi ni pamoja na 1. Mfumo wa supplies. Kuna jamaa mmoja mwenye butcher...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu, Simba ataifunga Stellenbosch

    Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa. Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao uliishia pale,hapana,Bali Simba walionekana kuridhika na hatua ya robo fainali na kutokua na...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio mechi yangu ya week

    Newcastle fc vs Man United Namuona Isack akienda kugusa mioyo ya mashabiki wa united duniani My bet Newcastle 3 united 1 FT
  10. JamiiForums Tanzania Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

    Kwa haraka haraka 01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka 02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri) 03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar.. Nipo njia panda...
  11. JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Bakhressa fedha unazomwaga kwa ajili ya Azam Sports Club Peleka msikitini na kwa maskini, utanishukuru

    Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako. Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
  13. JamiiForums Tanzania Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  14. JamiiForums Tanzania My Last Ride; Safari yangu ya Mwisho.

    MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO. Mtunzi; Robert Heriel +255693322300 Episode 01. Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa kweli ningefanya dhambi zote, zote! Lakini sio dhambi ya kumwaga damu ya Mtu. Haya sasa nini...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?? Tanzania yangu jamani

    Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  19. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita tangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  20. JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…