yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

    Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na...
  2. JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu maboresho ya simba

    Habari za muda huu Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi) 1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau 2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu eRITA

    Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user experience) kwangu mimi kama front end developer nimeona baadhi ya maeneo kama date (both birth and...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  5. JamiiForums Tanzania Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  6. JamiiForums Tanzania Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  9. JamiiForums Tanzania Matukio yangu binafisi ambayo Huwa nikiota yanakuwa kweli Kwa 100%

    Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia . Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani! Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa miaka hiyo niliota ndoto zaidi3 ya tukio Baya (sitalitaja) ila lilihisu kifo Cha kinyama nikamwambia...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

    Moyo wangu unaniuma, Najiona mwenye hatia, Sina raha nalazimisha tabasamu, Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii. Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili, Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  15. JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

    Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi. Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu...
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniibia dodoki la kujisugulia

    Hii dunia ina watu wa ajabu Sana. Huyu rafiki yangu ana asili ya Mbulu na anaishi Bunju ambako ana mke na watoto wawili. Last week alinipigia simu mida ya saa kumi na mbili jioni kuwa anataka tuone na yeye amefika jirani na nyumbani kwangu Ununio. Nikamweleza kuwa nipo home. Nyumba yangu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha. Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia. Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa. Ndipo...
  19. JamiiForums Tanzania Jirani yangu ameninyima maji ya kujengea

    Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…