yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wikiend yangu leo imemalizika hivi 😊

    Wasalaam Wakuu! Pamoja na kuwa active sana humu kwenye mtandao wangu pendwa, nikichangia mada mbalimbali, lakini tangu jana Nilikuwa nasoma kitabu kinachoitwa The Road to Financial Freedom kilichoandikwa na Bodo Schäfer, mtaalam maarufu wa fedha kutoka Ujerumani: Kitabu Kinafaa kila mtu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu: Kama kweli Polepole kajiuzulu , sababu ni hii: FOMU MOJA YA URAIS NDANI YA CCM

    Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa. Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA! Mods...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sala yangu ya leo, kesho na kesho kutwa

    Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:- 1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao, akili zao, fikra zao, mbinu zao, vyombo vyao, miili yao, ukalaani ardhi waikanyagayo, vyakula walavyo...
  4. JamiiForums Tanzania Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

    C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu ninayo iwaza akilini mwangu

    Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona. Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia yangu ya asili " Ujuaji" Ilivyo sabanisha nisome na kumaster Mathematics

    Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira. Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend. I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was 15 and 16. Sijawahi kuona msichana ambae " anapenda" hesabu kama yeye. It was as if her brain...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  13. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KWENYE PC YANGU NIKITAKA KUWEKA DRIVERS MPYA

    Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc...
  14. JamiiForums Tanzania Tafafakari yangu na maoni yangu kwa Watumiaji wa huu mtandao

    Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi yangu

    Nchi yangu ya Demokrasia 🤣🤣🤣🤣🤣
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  18. JamiiForums Tanzania maoni yangu: chadema angalieni mbali!

    wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania EP yangu , ENDLESS LOVE , sikiliza Kisha naomba utoe maoni

    Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence. Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika. List ya nyimbo 1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl 2.Nipende mie Dj Tamil ft CeeMusik 3. Stay with me Dj Tamil ft Robert 4. Wewe ni wangu Dj Tamil ft Suzie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…