yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

    Moyo wangu unaniuma, Najiona mwenye hatia, Sina raha nalazimisha tabasamu, Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii. Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili, Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe...
  2. PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  3. Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  4. Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  5. Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

    Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi. Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu...
  6. Rafiki yangu kaniibia dodoki la kujisugulia

    Hii dunia ina watu wa ajabu Sana. Huyu rafiki yangu ana asili ya Mbulu na anaishi Bunju ambako ana mke na watoto wawili. Last week alinipigia simu mida ya saa kumi na mbili jioni kuwa anataka tuone na yeye amefika jirani na nyumbani kwangu Ununio. Nikamweleza kuwa nipo home. Nyumba yangu...
  7. B

    Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  8. Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha. Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia. Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa. Ndipo...
  9. Jirani yangu ameninyima maji ya kujengea

    Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...
  10. Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  11. Ushauri kuhusu Elimu yangu

    Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!! Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
  12. Mwanamke epuka kumuambia mwanaume wewe sio type yangu

    WEWE SIO TYPE YANGU Mwanamke epuka kumuambia mwanaume wewe sio type yangu, wewe sio wa hadhi yangu, wewe huwezi kunimudu, katafute masikini wenzako huko Mimi ni wa viwango vya juu kama huna pesa usijisumbue you can't afford me n.k.....maneno haya yamewagharimu wanawake wengi sana. Kuna...
  13. B

    Discussion yangu fupi na CHATGPT kuhusu filamu za kihistoria

    Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
  14. Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

    Habari zenu Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini? Nifanyaje hapa wadau?
  15. D

    KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  16. M

    Nimeuza roho yangu kwa Mammon

    Hail lucifer,shemhaforash, Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa . Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu vingine vya grimoire. Nimekula kiapo cha damu (" nitamtumikia kaskazini na kusini ,mashariki na...
  17. Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  18. W

    Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  19. Kilimo kinalipa mno nauona utajiri mkubwa mbele yangu

    Kupanga ni kuchagua Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata...
  20. C

    Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

    Habari wana jamiiForums... Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga. Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…