yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Yanga mlisema mnataka Chai iweje mnalalamika mnaungua kwa Mamelodi

    Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF. Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Napendekeza Yanga kukata Rufaa juu ya droo yao ya CAF

    Salaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu. Hili linakuja baada ya kuonena timu ya mamelod sundown ikiwa inafanya mazoezi kwa namna ya kipekee... kama i. Kupiga...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA" Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga. Mamelodi watakula mnara ✋
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele. Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC 🆚 Geita Gold FC 📆 14.03.2024 🏟 Azam Complex 🕖 02:15 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 5 Aziz k anachezewa madhambi nje ya 18 Dakika ya 7 Yanga SC wanapata kona...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya Mamelodi Sundowns yana nia ovu kwa Yanga

    Huwezi kufanya mazoezi huku mmejifunika uso, halafu mnapiga mashuti yasio ya kawaida. Mnafanya mazoezi huku mnalia sana, mnaomba mechi iwe hata kesho, hii sio sawa
  7. JamiiForums Tanzania Yanga play like big European clubs

    Yanga play like big European clubs I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mechi ijayo iitwe Kamwe day. Adhalilike mwenyewe

    Wachezaji wa Yanga msikubali majina yenu kudhalilishwa mtakapocheza na Mamelod sundown. Mliosoma Cuba mmenielewa
  9. JamiiForums Tanzania Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

    YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS "Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali...
  10. JamiiForums Tanzania Umbea wa Rais wa Yanga kwa Motsepe umeiponza Yanga

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA Infantino. Kumbe Motsepe ni mshabiki mkubwa wa Meddie Kagere na anaijua ile kauli yake ya "mnafiki ishi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod. Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1. Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

    Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup. Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
  13. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Yanga uso Kwa uso na Tp Mazembe Final CACL

    Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL. Safari ya mbali haiagwi.
  15. JamiiForums Tanzania Je, hizi goli Tano Tano za Yanga ✋ Zina reflect vipi ligi yetu?

    Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu zilizochezea ✋ Kwa Yanga Simba Kmc Ihefu Je unadhani hivi vichapo vinaashiria Nini kwenye ligi yetu?? Hizi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Young Africans SC: A Force to Be Reckoned With in the 2023/24 Season

    the 2023/24 season. Their relentless work ethic, tactical prowess, and ability to exploit spaces have made them a formidable team. Let's delve into what makes this young squad so intriguing. The Hardworking Approach From the training ground to match day, Young Africans exemplify hard work...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangi kesho: Petro vs Simba, Mamelod vs Yanga

    Viburi vyote vitatuisha kesho, huo sio utabiri, ni uhakika. Am not Mugo wa Kihiri in Kusadikika, someone who could predict what is will happen in the future. Am sure 💯 draw kesho ni hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga kuvutiwa na jezi ya Al Ahly ni jambo linalofikirisha sana

    Miaka yote ya nyuma ilikuwa ni mwiko mshabiki wa Yanga kuipenda wala kuonyesha hisia zozote za kuvutiwa na jezi nyekundu kiasi kwamba mashabiki wa Yanga walikuwa wanapata wakati mgumu sana kushabikia timu za Ulaya ambazo nyingi kubwa zinavaa uzi mwekundu. Sijajua kama haya ni mabadiliko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…