Kila siku matamko na vigenge kwamba hamtaleta timu siku mechi ya derby ikipangwa. Mnafanya kazi saa ngapi?
Viongozi wenu wameshachukua hatua, wameshatoa matamko, wameshapeleka barua Bodi, TFF na huko CAS. Acheni hizo hatua na malalamiko yafanyiwe kazi na maamuzi yatatoka.
Hao wanaowachochea...
hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa.
Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa.
Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba...
Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi.
Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!!
Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini.
Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu.
Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi.
Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!".
Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
Amani iwe nanyi
Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu
Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga
Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana...
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.
Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.
Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga...
Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa"
Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru"
Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Mzee Mnguto anadai hii iliyotokea juzi ya Simba sio kesi kubwa kuliko ile ya Yanga kugomea 2021 ile Yanga kama Bodi wangefuata sheria ilipaswa washuke daraja kabisa.
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu ni kujaribu kuwahamisha waTanganyika kutoka katika ishu nyeti ya kitaifa ya No Reform No Election...
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo.
Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha
Forward za yanga...
Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali iliyopelekea Timu Kutofanya Vizuri Kwenye Mashindano Hayo.
Hili Liliwakwaza Sana Mashabiki Wenu, Uvumilivu...
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.