yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

    Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo. Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazee na Wanachama wa Simba: Yanga wamezoea kubebwa kama Marehemu

    Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju...
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi yaburuzwa mahakamani na mwanachama wa Yanga

    Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo kadhaa ama sivyo ataifikisha bodi hiyo Mahakamani, Madai hayo yaliyotokana na Uamuzi usio halali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
  10. Bramo

    JamiiForums Tanzania Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake. Kwa sasa wa Tanzania...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kocha wa Tabora Utd: Nimefukuzwa kwa kosa langu ni kuifunga Yanga

  12. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Mimi yanga damu ila ukwel mchungu

    (1)SIMBA INAKWENDA MISRI (2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO Yanga anaenda Singida.
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

    Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

    Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati, Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga kumeanza kuchangamka. Huyu wa wapi huyu? Si kawaida

    Hii si kawaida huyu dogo atakuwa ametumwa na Mikia. Yanga huwa hatuna mambo kama haya. Tunasubiria kusikia Hersi atasemaje juu ya jambo hili. Atupe maelekezo au kama si yeye basi manara.
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

    Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. 😃😄😆😂
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
Back
Top Bottom