yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Tabora Utd vs Yanga: Mdau wa Tabora Utd atishiwa na mtu asiyejulikana kuhusu kuihujumu Yanga

    Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini. Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga kupewa adhabu ya kucheza mechi 3 bila ya mashabiki

    Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki. Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo kesi ya Yanga itakavyokuwa huko CAS

    CAS ; CAF inasisitiza mchezo wa mpira uchezwe kwa gharama yoyote, Kwanini mmeahirisha mchezo halali wa Ligi? Kulikuwa na hali mbaya ya hewa? TPLB; Hapana CAS; Kifo labda cha mchezaji, kiongozi yeyote mkubwa? TPLB; Hapana CAS; Tishio la ugaidi, vita na uthibitisho kutoka mamlaka husika...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

    Niambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba? Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo limethibitisha kati ya Simba na yanga nani mkubwa

  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kila nikiwatazama baadhi ya Wachezaji wa Yanga SC, naamini kweli mpira ni connection hata kama kiwango kimeisha

    Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna. Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Medali iliyopelekwa ikulu na Yanga SC inawatia Tumbo joto Simba SC

    Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga haitacheza tena robo fainali ya CAFCL hadi itakapofika mwaka 2076

    Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea". Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

    Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani. Kwenye mechi 7 zilizobakia za Yanga, Yanga watafungwa mechi mbili na kutoa droo Moja. Kwa upande wa Simba kati ya mechi 7...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba na Yanga hawatakiwi kwenda Bar mwezi mtukufu?

    Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo. Mashabaki hao...
  14. The branding

    JamiiForums Tanzania Projects za Yanga na Simba ni mwiba kwenye maendeleo ya Nchi

    Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga zimezima Ripoti ya CAG

    Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tuacheni kulishana ujinga. Match itarudiwa na Tutacheza. Period

    Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna...
  19. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga someni alama za wakati, hatutaki busara na uchawa

    Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani na Kama adhabu ya kuzuia timu kuingia uwanjani ni kushushwa daraja ni bora tushushwe. Ni heri ya...
Back
Top Bottom