yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

    Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
  2. JamiiForums Tanzania Yanga Yatishia Kujitoa Kwenye Ligi Mwakani endapo Matakwa yao yasipofanyiwa kazi

    https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yapigilia msumali suala la derby, yasema ipo na lazima ipigwe Juni 15, 2025

    Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na...
  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    TAARIFA KWA UMΜΑ JUNI 09, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
  6. JamiiForums Tanzania BODI inalamba matapishi yake hahaaa ...wameliwa juzi derby vipi ooh YANGA wanaijua tar hawana mda WA kujadili Leo mnajadili xxxxxx

    HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi watachexa wanajua
  7. JamiiForums Tanzania Na anaweza pia Kuinunua Yanga SC yote, Wanachama na Mashabiki na akawalipa Mishahara akina Hersi Said na Gharib Said Mohamed Kudadadeki.....!!

    Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi. Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
  8. JamiiForums Tanzania NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

    Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA.... ASANTENI..
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuelekea dabi yanga na simba June 15,2025

    Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea. Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
  10. JamiiForums Tanzania Kumetokea nini tena mbona hivi sasa kila mwana Yanga SC akisema HATUCHEZI Juni 15, 2025 anaisema KINYONGE sana?

    Niliposema mara mbili JF kuwa hakuna mwana Yanga SC wa kushindana na AMRI ya Serikali ya CCM hamkunielewa au?
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kumtumia Ali Kamwe na baadhi ya wazee kutangaza watacheza derby kwa Maslahi mapana ya Mpira

    Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule kukutana na kubadili maamuzi ya kutokucheza derby tarehe 15 Juni. Taarifa Toka chanzo cha kuaminika...
  12. JamiiForums Tanzania Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nasubiri kuona Yanga ikishushwa Daraja,Karia kujiuzulu (BODI YA LIGI) au Vurugu inaweza ikawa solution.

    Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi kuwa makini sana na kutoyumbishwa na Yanga. Lolote watakalofanya Juni 15 msigeuke nyuma mtageuka jiwe la chumvi

    Kama nilivyo anza naomba niwajulishe ya kwamba katika siku mtakuja kujilaumu katika maisha yenu yote na kubaki hadithi ni siku ambayo mtashindwa kuchukua maamzi stahiki kwa klabu yoyote itakayoshindwa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 15-Juni-2025. Endapo ikatokea klabu yoyote ikasema aileti...
  16. JamiiForums Tanzania MDA SI MREFU nimeota BODI ya ligi itajiuzulu na kuundwa BODI mpya na YANGA atatangaza kucheza Derby. ....

    Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema Itaundea BODI mpya Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby Tar 15 jun Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mkikubali kucheza halafu Mfungwe mjue mtabeba lawama nyie

    Wanachama na wapenzi wa Yanga hawatawaelewa kabisa. Kwanza Simba, Tff na Bodi ya ligi watakuwa wanawacheka na kuwapiga vijembe kuwa ndio maana mlikuwa mnaogopa kucheza. wakati huo wachambuzi wa mrengo wa Simba kina Jemedari Saidi, Ngereza na wengine watakuwa wanaichambua Yanga kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya soka letu Yanga Msikubali Kucheza

    Hii itasaidia sana kwa viongozi wa Tff na Bodi ya ligi kuzingatia kanunu na haki. Yanga msicheze
  20. JamiiForums Tanzania Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

    Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala. Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake TFF wametafuta njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…