Sheria Ngowi na Theocabrini na team yote wametengeneza jezi za Yanga nzuri haijawai kutokea Afrika

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana
Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa

  • Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi
  • Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27
  • Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions

Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi Wao wanavaa tuu ilimradi wamevaaa Jezi bila kujua Jezi aliyovaa ina Reflect Nini

UKWELI MCHUNGU ILA JEZI ZA YANGA NI ZA MOTO SANA

Duniani Arsenal ndo wanaongoza kuwa na Jezi Kali Then inafata YANGA

Congrats
Designer >Sheria Ngowi and Theobald Cosmas

Much Thanks to GSM and All Yanga Department
 
Hii vipi!
IMG-20210826-WA0000.jpg
 
Mnajisifu kwenye jezi kuweka alama za wananchi, halafu mnawacheka wenzenu wanaoweka wadhamini wanaoingiza pesa kwa klabu yao, Yanga mmelogwa.

Mnawekeza midomoni badala ya uwanjani, labda midomo yenu ndio itacheza mpira msimu huu mchukue kombe. Ushamba wenu ndio unaorudisha mpira wa Tanzania miaka kumi nyuma.
 
This is totally stupidity
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom