Hakika nawasalimu.
Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye...
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia...
Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia...
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.
Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la kutosha na bendi ya malaika music band huko kigoma kabla ya mechi yao na Ruvu shooting iliyoisha kwa...
Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki.
Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake.
Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na...
Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.
Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.
Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana.
Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki.
Yanga wakijua...
Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.
Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...
Majibu yangu......
Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 )
Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.
Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na...
Afrika nzima tayari inafahamu bado dunia tu kujua, team yenye mafanikio kuliko zote afrika mashariki na kati na inayoongoza kwa ubora katika ukanda huo huku ikiwa team inayoogopwa zaidi kutoka Tanzania yaani yanga sc ina jambo lake msimu huu.
Mabingwa wa kihistoria kama ilivyotangaza rasmi...