FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

Protect

Member
Apr 4, 2020
73
200
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya

Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28 kwenye ligi

Endelea kuwa nami kwenye kujulishana kinachokuwa kinaendelea kwenye mechi hiyo

Screenshot_20220625-133319_Instagram.jpg

============

Mpira umeanza

1' Mbeya City 0-0 Yanga

4' Mbeya City wanakosa goli hapa
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
26,282
7,136
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya

Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28 kwenye ligi

Endelea kuwa nami kwenye kujulishana kinachokuwa kinaendelea kwenye mechi hiyo

Mpira Umeanza

1" Mbeya City 0 - 0 Yanga
Lete line up please.
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,481
65,703
Kadi Nyekundu kwa Mpoki Mwakinyuke ni halali kabisa.

Kwenye mchezo dhidi ya Simba SC alipewa Kadi Nyekundu

Ni katika aina ya wachezaji wa hovyo

Hatuwezi kuwa na Wachezaji wapuuzi kiasi hiki, wa kulazimisha kupewa KADI

Na Aucho asipoangalia anaelekea kupata Kadi nyingine.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom