Yanga kumsajili Morrison ni kula matapishi yao na ni ishara ya kukubali udogo wao

Mbongo4life

Senior Member
Nov 1, 2021
132
268
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji anaondoka tena kwa dharau wakati bado mnamuhitaji alafu anatemwa huko aliko kwa kukosa namba nyie mnamrudisha?
 
Aliondoka Yanga - Haruna Niyonzima tukachoma moto hadi jezi zake lakini alivyoomba kurudi tulimpokea.

Hivyo kwa Morrison hata kama nae alitukera - Tutampokea. Tunachoangalia kwa sasa ni mchango wa huyo mtu anaekuja je atawakera Simba? au atakuwa na mchango wa ushindi wa uwanjani? ni hayo tu akiyaweza tunampokea kiroho safiii.

Tunataka na lile Kombe la CAF tulichukue mwakani kisha tuionyeshe Dunia namna mpya ya kushangilia ubingwa wa Africa.
 
:) :) :) :) :) Yanga mchukue CAF lol makundi yenyewe hamfiki . Anyway kuna msemo unasema. Anyway kwani wachezaji wameisha ?
 
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji anaondoka tena kwa dharau wakati bado mnamuhitaji alafu anatemwa huko aliko kwa kukosa namba nyie mnamrudisha?
Ni uchizi tu lkn dogo anaujua na atatusaidia sana...Morrison ni yule yule jana leo hata milele....
 
Aliondoka Yanga - Haruna Niyonzima tukachoma moto hadi jezi zake lakini alivyoomba kurudi tulimpokea.

Hivyo kwa Morrison hata kama nae alitukera - Tutampokea. Tunachoangalia kwa sasa ni mchango wa huyo mtu anaekuja je atawakera Simba? au atakuwa na mchango wa ushindi wa uwanjani? ni hayo tu akiyaweza tunampokea kiroho safiii.

Tunataka na lile Kombe la CAF tulichukue mwakani kisha tuionyeshe Dunia namna mpya ya kushangilia ubingwa wa Africa.
huko kwingine sawa ila kombe la CAF labda mpate kwa Lipumba.
 
Ni uchizi tu lkn dogo anaujua na atatusaidia sana...Morrison ni yule yule jana leo hata
Ni uchizi tu lkn dogo anaujua na atatusaidia sana...Morrison ni yule yule jana leo hata milele....
Morrison sio mchezaji mzuri kiivyo huwezi kumlinganisha na Luis ,Sakho na Chama na wengine plus anakuja na upuuzi mwingi last season msimu mzima hata goli 4 hajafikisha . its very poor standard kwa mchezaji wa kulipwa ….
 
Morisoni Ligi ya NBC goli 0, assist 1. Chama aliyesajiliwa dirisha dogo goli 3 , assist 3. Morison ni kama homa ya vipindi . Hana jipya zaidi ya kurudi utopolo kuungana na kichaa mwenzake Manara ili kuunda timu ya vichaa
 
Ni mchezaji wa mbwembwe nothing more ,takwimu zake ni za kawaida sana

Kama unahitaji timu imara huyu hapaswi kuwa katika kikosi chako
 
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji anaondoka tena kwa dharau wakati bado mnamuhitaji alafu anatemwa huko aliko kwa kukosa namba nyie mnamrudisha?
Ungekua unafuatilia matukio ya hizi timu mbili, usingesema hivi. Mfano mdogo tu; Kelvin Yondani alisajiliwa Yanga akiwa moto kweli kweli! Una maoni gani juu ya hili?
 
Morisoni Ligi ya NBC goli 0, assist 1. Chama aliyesajiliwa dirisha dogo goli 3 , assist 3. Morison ni kama homa ya vipindi . Hana jipya zaidi ya kurudi utopolo kuungana na kichaa mwenzake Manara ili kuunda timu ya vichaa
halafu baadaye wawakere vizuri bila shaka.
 
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba .
Kutwa nzima mnasema mpira ni biashara siku hizi! Yanga kafanya biashara, mnalalama tena.
 
Aliondoka Yanga - Haruna Niyonzima tukachoma moto hadi jezi zake lakini alivyoomba kurudi tulimpokea.

Hivyo kwa Morrison hata kama nae alitukera - Tutampokea. Tunachoangalia kwa sasa ni mchango wa huyo mtu anaekuja je atawakera Simba? au atakuwa na mchango wa ushindi wa uwanjani? ni hayo tu akiyaweza tunampokea kiroho safiii.

Tunataka na lile Kombe la CAF tulichukue mwakani kisha tuionyeshe Dunia namna mpya ya kushangilia ubingwa wa Africa.
Umemjibu kuntu
 
Unaongea ujinga utafikiri unatoa hata 100 ya usajili.Ikitokea huyo morrison karudi yanga na akaanza kufanya vizuri mtaanza tena kusifia.Wabongo tupunguze ujuaji usio na manufaa.
 
Morisoni Ligi ya NBC goli 0, assist 1. Chama aliyesajiliwa dirisha dogo goli 3 , assist 3. Morison ni kama homa ya vipindi . Hana jipya zaidi ya kurudi utopolo kuungana na kichaa mwenzake Manara ili kuunda timu ya vichaa
Sio lazima afunge.Cha msingi ni kuangalia katoa mchango gani kwenye timu kwa ujumla.Mambo mengine tuwachie makocha husika.
 
Back
Top Bottom