yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Morrison aanza kuwaendesha Yanga huko mtandaoni😂

    Admin wa mitandao ya kijamii ya Yanga ana kazi ya ziada msimu huu😆😆😆
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

    Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki. Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi. Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

    Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Yanga Waambiwe Ukweli, Tusiwaogope.

    Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa? Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani viongozi wakumbushwe kuwa sisi Simba hatuna ugomvi nao, ila tunaomba wasitufanyie hivyo. Hivi kweli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga atapona kweli msimu ujao?

    HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo Mganda Khalid Aucho, lakini kwa sasa anaitwa daktari. Alisomea wapi? Sina majibu. Ndiyo mpira wetu...
  6. demigod

    JamiiForums Tanzania Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

    Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC. Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kushtakiwa ilipe milioni 200. Ki Aziz aharibu bajeti

    Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena Kwa msiojua ni kwamba Gharib kasema hatoi zaidi ya 500 millions watu wamechafua madafatari vibaya sana, haya sasa millions...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga adaiwa kutapeli Tsh. Milioni 83 za pafyumu

    Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

    Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola. Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
  14. hamis77

    JamiiForums Tanzania Msuva kutua Yanga

    Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa. Hapa sasa ni biashara ya jezi. Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
  15. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  16. H

    JamiiForums Tanzania Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi Said tunataka kuona 'Walk the Talk' yako katika Kuiendeleza Yanga SC yako na siyo 'Talk the Walk' tulioizoea mkiomba Kura

    Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku. Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
  19. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Nina shida na makava ya simba na yanga

    Wadau habari za muda huu Nashida na makava ya simba na yanga kwa anaejua machimbo yanapo patikana anisaidie nipo Tunduma 0627380556
  20. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea. Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
Back
Top Bottom