Video: Yanga vs Al Ahly wakipigiana penalti baada ya Agreggate kulingana CAFCL 2014

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
al ahly.jpg

YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE
achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid

 
Hii ndiyo mechi ambayo biala shaka Said Bahanuzi alitulaza mashabiki na viatu kudadek.
 
Dida alijitahidi sana ,kiukweli tulipoteza bonge la bahati pale.
 
Tunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF
Zitaje hizo mechi tatu mfululizo. Tena ujue mwaka huo huo Simba akapenya makundi na kutinga robo fainali, yaani Simba hajawahi kushika mkia kwenye kundi, na Yanga hajawahi kutoshika mkia kwenye kundi (ingawa wanacheza mara chache)
 
Back
Top Bottom