Video: Haji Manara akijisifu kufifisha Yanga kujiona wakubwa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii

shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko.
 
shida ni kwamba video zake akiwa Simba anatoa shombo kwa Utopolo zipo nyingi sana zenye kujibu hoja zake za sasa akiwa Utopoloni huko.
tamthilia kali sana hii sema kwa sasa lazima wana yanga wampiganie sababu ni mfia team kindakindaki
 
Uzi mbona hauna wachangiaji? Yanga hwapo kumtetea Le mr waiti?
 
Back
Top Bottom