yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

    Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC. Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC kushtakiwa ilipe milioni 200. Ki Aziz aharibu bajeti

    Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena Kwa msiojua ni kwamba Gharib kasema hatoi zaidi ya 500 millions watu wamechafua madafatari vibaya sana, haya sasa millions...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
  5. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga adaiwa kutapeli Tsh. Milioni 83 za pafyumu

    Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
  7. Kurunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

    Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola. Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
  9. hamis77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msuva kutua Yanga

    Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa. Hapa sasa ni biashara ya jezi. Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
  10. TAI DUME

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  12. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Injinia Hersi Said tunataka kuona 'Walk the Talk' yako katika Kuiendeleza Yanga SC yako na siyo 'Talk the Walk' tulioizoea mkiomba Kura

    Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku. Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
  14. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Nina shida na makava ya simba na yanga

    Wadau habari za muda huu Nashida na makava ya simba na yanga kwa anaejua machimbo yanapo patikana anisaidie nipo Tunduma 0627380556
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea. Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

    Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu? Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

    Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi. Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba...
  18. JOYOPAPASI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hersi Said: Vipaumbele vyangu nikiwa Rais wa Yanga

    VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA (1) MIUNDOMBINU YA KLABU (a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI. (b) Marekebisho ya jengo la klabu-JANGWANI (c) Kuendeleza TRAINING CENTRE-KIGAMBONI (2) MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU Klabu yetu...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda sana wana Yanga SC wenye 'Msimamo' na wasio 'Wanafiki' kama huyu

    Kafunguka sana na Kaeleweka mno.
Back
Top Bottom