yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. nyehura

    JamiiForums Tanzania Saleh Jembe: Wazee wa Yanga Waheshimu Mamlaka

    Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili kuzungumzia sakata la Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara, huku akibainisha kuwa kwa kufanya hivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

    Salaam wakuu, wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih. ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili...
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga kufika nusu fainali Klabu Bingwa Afrika 2022/23?

    YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23? Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata tiketi hiyo baada ya kutwaa ubingwa mwaka 1973 walijikuta wakiwa na deni kubwa kwa vile watani zao Yanga...
  4. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

    Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Video: Haji Manara akijisifu kufifisha Yanga kujiona wakubwa

    Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kombe la NBC waliloshinda yanga sc halijawahi kutokea

    Hakika Yanga sc mmetuheshimisha wana jangwani kwa kombe bora na zuri kama hili.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kisa Manara, maandamano makubwa ya wana Yanga Bujumbura

    Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo Jijini Bujumbura wana yanga kindakindaki wameandaa maandamano ya amani kuelekea ubalozi wa Tanzania...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kisa Yanga, Rivers UTD wazodolewa huko Nigeria

    Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji sasa timbwili ni kwamba kaahidi kuwapeleka jijini madrid spain kwa ajili ya pre season na siyo mara ya kwanza kwani hata...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

    Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao. Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao? Eti ni Hukumu Kali...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Haji ni pandikizi la Simba aliyetumwa kuja kuivuruga Yanga?

    Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga Sasa yametimia. Kambi imevurugika, mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona atoswe, wengine wanasema tumtetee. Klabu imetoka kwenye reli ya pre season imeingia kwenye mgogoro Tuwe...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yanga: Haji Manara hajatendewa haki, tunamuunga mkono kudai haki vyombo vya juu zaidi

    Yanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh. Milioni 20 siyo ya haki na adhabu ni kubwa. Yanga wametoa tamko na kueleza kuwa inamuunga mkono Manara...
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Manara kuwa huru kabla ya Siku ya Mwananchi

    Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF. Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Wacongo Yanga Princess wasHtaki FIFA kudai malipo

    inaiskitisha sana, dah kwa hiyo mkatooka congo hadi ......he :D😜
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

    Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea nami basi Comrade Oky?
  16. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Staki Kuamini App ya Mwananchi Yanga Inamilikiwa na Yanga

    Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga. Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club Kubwa na Kongwe hapa barani Africa Yanga ni Club Kubwa na Kogwe lazima Mambo yake, Miundo mbinu...
  17. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda Amjibu Jemedari, Kuhusu Rais wa Yanga

    #DAUDA_KAMJIBU_JEMEDARI Shaffih Dauda kamjibu Jemedari Said kuhusu alichomkosoa Rais wa Yanga. "Sidhani kama kuna shida yoyote kwa Rais wa Yanga kupiga picha na mchezaji wake au kufanya nae mazoezi,, Guys tunaishi kwenye Dunia gani ? Kuna jambo gani la ajabu ?" "Rais Florentino Perez wa Real...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo miaka 45 iliyopita, Simba 6-0 Yanga

    Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki. Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani! Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo...
  19. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Yanga chali!

    Mabingwa wa mchongo, baada ya kukosa nauli na pesa ya kambi huko Turkey, Walirudi kwa mdhamini wao sportpesa ili waone namna kama wangeweza kupata pesa ya kambi lakini sportpesa waligoma kwamba mahitaji hayo yalionekana kwenda kinyume na installments za mkataba.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
Back
Top Bottom