Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda
Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi
Je, pana uwezekano wa kupiga pesa?
Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.
ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!
Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.
Kama kila...
"Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union
Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote.
Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.
Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC...
Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati?
Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana?
Je, lengo ni...
Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi.
Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani".
Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?
Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.
Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde...
Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...