yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Mwaka 1988 YANGA iliinusuru SIMBA isiteremke daraja

    YANGA YAIBEBA SIMBA ISISHUKE DARAJA 1988 Simba Msimu wa Pili mfululizo kunusurika, bali ushindi wao wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga uliwanusuru ilikua Jumamosi Julai 23, 1988 mwaka huo kwenye Uwanja wa Taifa uliifanya ilinde hadhi yake. Mchezo huo ulikuwa ni wa marudiano wa Ligi Daraja la Kwanza...
  2. Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

    Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon. Acha kuzubaa, endelea na wewe…
  3. O

    Yanga ya Gamondi inavyomtesa Robertinho Simba

    SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa. Ni kweli timu inapata matokeo mazuri uwanjani, lakini haiwafurahishi wanasimba kwa aina ya soka inayocheza...
  4. Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)? Usipoteze kura yako.
  5. Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

    Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu. Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
  6. B

    Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
  7. Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  8. Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

    Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani. nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo. mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi. 👇 Azam. Mtibwa. Mashujaa. Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa...
  9. Yanga nambari wani kwa online engagements katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Bila mbeleko wala maelekezo toka juu, Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia Mafanikio bila...
  10. O

    Edo Kumwembe: Simba na Yanga, peponi hazipo motoni hazipo

    HAKUNA kundi jepesi wala gumu kwa Simba na Yanga baada ya Ijumaa jioni kushuhudia wakipangwa na timu mbalimbali katika makundi yao ya Ligi ya Mabingwa. Waswahili tumeanza kupiga ramli. Inachekesha sana lakini ndio hali halisi. Fikiria kama wangepangwa wenyewe kwa wenyewe ingekuwaje? Rafiki...
  11. Kama CEO Popat na Msemaji Ibwe watakuwepo Azam FC hadi tarehe 25 Oktoba, 2023 wakicheza na Yanga SC basi Watafungwa

    Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka. Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
  12. Yanga sc na Kmc watauana kugombea nafasi ya tatu Nbc premier league.

    Kama msmaimo unavyoonekana kumeibika mapigano makali kati ya Kmc na yanga kugombania nafasi ya tatu.
  13. Kati ya Simba na Yanga ni nani amepangiwa kundi gumu Klabu Bingwa?

    Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika. Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo hakuna uthibitisho. Wengine wamekuwa na mtizamo chanya na kuona kama Soka la Tanzania limekuwa, na...
  14. Thamani ya kipa wa Simba mmoroko Ayub ni sawa na Thamani ya kipa wa Yanga Diara wakiwa saba

    Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
  15. S

    NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

    Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo. Ukiangalia, magoli yote mawili ni matokeo ya mpira wa kasi wa Yanga unaolzamisha timu pinzani kukimbiza upepo...
  16. S

    Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
  17. Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

    Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati. Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia...
  18. Simba na Yanga ndio vinara wa kufuatiliwa mitandaoni kulingana na mtandao wa X

    Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online...
  19. S

    CEO Yanga: Tutaionyesha dunia ukubwa na ubora wa Yanga

    “Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly. Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu” @andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
  20. S

    Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…