Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
YANGA YAIBEBA SIMBA ISISHUKE DARAJA 1988
Simba Msimu wa Pili mfululizo kunusurika, bali ushindi wao wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga uliwanusuru ilikua Jumamosi Julai 23, 1988 mwaka huo kwenye Uwanja wa Taifa uliifanya ilinde hadhi yake.
Mchezo huo ulikuwa ni wa marudiano wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, ambapo katika mchezo wa kwanza timu hizo zilifungana 1-1.
Kwa Coastal Union kuchapwa magoli 2-0 na African Sports siku hiyo, Yanga ilihitaji sare tu ili iweze kutetea ubingwa wake, lakini timu ya Tanga pamoja na kipigo hicho ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara kwa tofauti ya idadi ya magoli ya kufunga.
Yanga na Coastal zilikuwa na pointi 26 kila moja, lakini Coastal ilikuwa na magoli 27 na Yanga ilikuwa na magoli 24.
African Sports ilishika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 26 pia lakini ilikuwa na magoli 23 ya kufunga.
Timu hii, hata hivyo, iliingia kwenye Ligi Kuu ya Muungano na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Tanzania nzima mwaka huo.
Simba ilikuwa ya tatu kutoka mwisho ikiwa na pointi 20.
Vikosi Vilikuwaje?
YANGA: Sahau Said Kambi, Fred Felix/Yusuf Bana, Kenneth Mkapa, Godwin Aswile, Lawrence Mwalusako, Athumani China/Abdallah Burhani, Justin Mtekele, Said Mwamba ‘Kizota’, Issa Athumani, Dennis Mdoe na Celestine Mbunga.
SIMBA: John Bosco, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Deo Njohole ‘OCD’, Pazi Ally, Daniel Muhoja, John Makelele, Adolf Kondo/Francis Mwikalo, Edward Chumila na Augustine Haule.