Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa kwenda kununua kwa aliyeuziwa haki za mchezo huo husika.
====
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Mara ya 6 mfululizo simba anakaa hata yanga ya bakuli hawakuwahi kupigwa Mara 6 consecutively
Huwezi ukaacha kusajili top players halafu ukategemea propaganda ilianza pira bovu simba day tukasema Mara oh ni reserve kwa ajili ya tar 16 na mbinu ndo hizi
Huyu kante ndo alikua anaimbwa na ndo...
Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU
Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake.
Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika.
Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion.
Baada...
KAMA N MAPENZI YA MUNGU
SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI
KWAKO MAMA YETU
TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni.
Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo...
Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
hebu tuangalie utabiri wa mechi ya YANGA SC dhidi ya SIMBA SC tarehe 25 Juni 2025 saa 10 jioni, kwa kutumia numerology – sayansi ya kiroho ya namba, ambayo huangalia msingi wa namba ya tarehe, majina ya timu, na muda wa tukio
1. Jumla ya Tarehe: 25 Juni 2025
Tutazijumlisha tarakimu zote za...
Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe.
Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa.
Ndio maana tuliona vita kule Angola...
Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti ya mwaka 2025/2026 imeonyesha mazingira ya kipekee ambapo mjadala wa kitaifa juu ya bajeti uligubikwa...
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
bodi
bodi ya simba
derby
hewa
ikulu
kutatua
mgogoro
serikali
simbasimbanayanga
taasisi
taasisi za serikali
tff
viongozi
viongozi wa simba
watanganyika
yangayanganasimba
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga.
Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea.
Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
Ikiuzwa hata nchi nzima ni poa tu, Graduate wakijaa mtaani watajua tu wenyewe, napo ni poa hakuna shida watajua mbele kwa mbele.
Maisha yakiwa magumu, huduma za afya zikiwa hazieleweki hasa Hospitali za umma napo ni poa tu,make ni Mungu kapanga.
Kikubwa Yanga na Simba zisiguswe kabisa hapo ni...
Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga.
Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.