yanga na simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  3. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

    Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpunga unaoingia baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali kati ya Yanga na Simba

    Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu; Yanga: Milioni 820 kutoka CAF + Bilioni 1.5 kutoka wadhamini wao Kampuni ya Haier + Milioni 40 zawadi ya Rais Samia, jumla...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana timu za Yanga na Simba

    Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali. Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike mpaka Fainali. Narudia tena hongereni sana Wanalunyasi na timu ya Wananchi.
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  10. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  11. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  12. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nani atashinda vita ya rangi ya bluu kati ya Yanga na Simba?

    Kuna mengi yanaongelewa mpaka sasa kuhusiana na jezi mpya za Yanga chini ya udhamini wa Haier. Sitagusia kuhusu migogoro hiyo ya mikataba ila nitaongelea kuhusu uchaguzi wa rangi ya blue katika moja ya jezi hizo. Msimu uliopita Simba kwa mara ya kwanza walitambulisha jezi zenye mchanganyiko wa...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Simba ni balaa, Asha Baraka atishiwa kuuawa

    Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba. Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
  15. Labani og

    JamiiForums Tanzania Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023). Sifa za huyu mwamba; ~ Unaambiwa huyu...
Back
Top Bottom