Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga.
Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
Kipindi mnafurahia pesa za goli la mama basi mfurahie pia mkiombwa kuingia uwanjani,
Mtatumia busara na kuziacha kanuni kama TPLB,
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Yanga na Simba si mnazikumbuka? Kuna wabunge na wanasiasa tena waliopo madarakani,
Wote ni watiifu kwa bi mkubwa
Kiburi cha...
Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA" Kauli mbiu iendelee kidogo iseme "NITAKUWEPO KWA MKAPA KWENYE DABI YA MAMA. WEWE JE?"
Tuone kama hawa watoto wa GSM wataendelea kukaza hahahaaaaaa.
Hivi vilabu viwili MTU ambaye anauwezo wa kuvichukulia hatua Kali ni SERIKALI PEKEE, nje ya hapo hakuna wa kuviweza japo Serikali haiingilii mpira ila hapa ITABIDI
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.
Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe...
Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025.
Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila unaweza kusaidia kupanua mawazo kidogo wakati huo huo ukitoa burudani ya hapa na pale. Tujadili bila...
Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani.
Na kwa kuwa inaonekana ni hujuma ambayo ilipangwa mapema(premeditated) kwamba Yanga wagomee mechi ya marudiano ili Simba wapewe...
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Soma, Pia
Yanga...
Tetesi Zinasema Mechi kati ya vigogo hao itachezwa baada mapumziko ya mechi za kimataifa
Na mgeni rasmi inasemekana atakua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani
Tuone sasa kama kuna mtu atagomea kuleta timu uwanjani
Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025.
Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
Mimi si mpenzi wa Yanga au Simba, su timu yoyote nchini au nje ya nchi.
Ila ilipofika jana jioni, usiku nikakutana na shabiki mmoja akilalamikia vikali kuahirishwa kwa mechi ya Yanga na Simba, iliyokuwa ifanyike jana mchana..
Nimefuatilia kiini cha tatizo.
Kimsingi tatizo ni watu wazima na...
Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa watashika adabu.
Ukishaona timu wanaCCM wamo humo kuanzia mwenyekiti wao hapo hakuna raha ni kutumiwa km...
Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia saa 1:15 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tukio hili limeleta athari kubwa kwa...
Bila kumumunya maneno, hawa TFF wakishirikiana na hivi vilabu vya Simba na Yanga wamegundua sisi mashabiki wa Soka wa Tanzania ni wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wafu. Wanaweza kutengeneza kanuni wanazozitaka wao, wakazistafsiri wanavyotaka, wakatengeneza matukio na kutuyumbisha wanavyotaka wao...
Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka.
Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.