Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
dabi ya kariakoo
hongera
jana
janja janja
kesho
klabu ya simba
kufanya
kufanya mazoezi
mashabiki
mashabiki wa yanga
mazoezi
simba
timu
yangayanganasimba
zake
Golikipa wa zamani wa timu za Majimaji ya Songea, Simba Sc na Yanga Sc, Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefariki Dunia baada ya kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali
Inaelezwa asubuhi ya Machi 6, 2025 Doyi ambaye alikuwa tayari amepatwa na matatizo ya akili na amekuwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya.
Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
Kama kuna kitu CCM wanajivunia nacho kwa sasa ni kuweza kuwaingiza mamilion ya wajinga wa hii nchi kwenye mfumo wao wa Yanga na Simba. Haya ni mafanikio makubwa kabisa ya Serikali ya CCM ya wakati wote tangu Nchu kuasisiwa.
Kwa sasa hata nchi inavyo pigwa hakuna mtu anajadili make wajinga wako...
Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona.
Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars) na kilichotokea ni hicho hicho...
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe!
Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
CCM ni wajanja sana, na hii awamu ya Mama wamekuwa wabunifu zaidi na zaidi. Unaambiwa wajinga wape msosi washibe na baada ya hapo watafutia michezo au Mada then waachie hapo watajadilu hadi kufikia kupigana.
Mada ya wiki imetoka na hii itakuwa sapoted na mada za Yanga na Simba, huu ndio ujinga...
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Kenya wanapeleka wachezaji 79 kwenye Olympic mwaka huu, na Olympic ndio imekuwa inaitangaza sana Kenya Kimataifa.
Timu ya Olyimpic ya Kenya ikiwa Ikulu sijaona Wamevaa ujinga ujinga sijui picha za Ruto ujinga, Ingekuwa ni Tanzania ya wajinga hio timu yote ingevalishwa tshirt zenye picha ya...
Mimi ni Simba ila sikubaliani na huu uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira na tusipo piga kelele now mbele ya safari hali itakuwa mbaya zaidi.
Kwa nini kuwe na kiwango hiki cha juu cha kuchanganya Mpira na Siasa? au Burudani na siasa?
Sijapata ya Yanga ila hope na wao wako huko uwanjani...
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.