yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    Dabi ya Simba na Yanga kesho mashakani

    Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa. 'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
  2. H

    Mohamed Damaro si kiungo mzuri, anawachelewesha Yanga

    Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni...
  3. Expensive life

    Simba na Yanga kutoa sadaka kila wanapokutana ni sababu hasa?

    Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana. Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
  4. R

    Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

    MATCH DAY Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Yanga SC wanaingia...
  5. M

    Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufananishwa nae

    Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufanishwa nae, na wanaweza kuweka rekodi mpya kushinda mara 7 mfululizo hadi 2028
  6. Tajiri Tanzanite

    Anaweza kuifunga Simba ni refa tu na sio Yanga

    Hapo vip! Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa wanamfunga Simba au wanasare na Simba mfano darby iliyopita Simba amenyimwa goli lake la halali na...
  7. Mzee makoti

    Full Time: Yanga SC 2-1 Azam FC| Muungano Cup| New Amaan Complex| Yanga anafuzu Fainali

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Updates zote utazipata hapa! Dakika 8, Mwanamfalume anaweka goli safi kabisa
  8. M

    Ripoti imepangwa kutolewa kimkakati sana, Tupo muda ambao Simba na Yanga zinaweza kukutana Mara mbili ndani ya wiki, Muungano cup na Kariakoo Derby

    Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3 Kariakoo Derby
  9. M

    Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  10. Waufukweni

    Kombe la CRDB: TRA United yaangukia kwa Mnyama, Yanga ikipelekwa jeshini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei. Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
  11. Mzee makoti

    Full Time: Yanga SC 6-0 Mbeya City| Ligi Kuu | Yanga yaiacha Simba pointi 8

    Yanga imefanikiwa kuifunga Mbeya City United magoli 6-0 kwenye Uwanja wa KMC, hivyo kufikisha pointi 47 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 39. ============== Yanga Sc leo wapo uwanjani wakiwakaribisha Mbeya City...
  12. M

    Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

    Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
  13. Mzee makoti

    Full Time: NBC PL | Yanga SC 3-0 Prisons | KMC Complex | 04/04/2026

    Yanga imefanikiwa kuichakaza Tanzania Prisons Magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam, hivyo Yanga imeendelea kuongoza kwa kuwa na alama 41 katika mechi 17, Prisons imebaki katika nagasi ya 15 kati ya timu 16 kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na...
  14. Jchris14

    Hii ni kwa wapiga pull wote

    Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta. Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:...... "wewe legendary kama uliweza kujinasua na kutoka kabisa kwenye mfumo wa kujichukulia sheria mkononi, hakika siti yako ipo mbele...
  15. Waufukweni

    Mwanasheria wa Simba SC: Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS kama tusiporidhishwa

    Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa Sakata la SIMBA...
  16. JanguKamaJangu

    Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  17. mwehu ndama

    Ukweli usemwe kocha wa Yanga na viongozi ni maamuma

    Maamuma ni mtu mjinga asiye na akili kwa kufuata mawazo yake au Yale ya wengine.. Hilo kocha la Yanga kwa jina Pedro pamoja na viongozi wake , wote ni maamuma..Yaani kocha jinga linawachezaji 25+ ila linang'ang"ania walewale tu .. Na viongozi waliojitwika Ufalme juha wapo wapo tu wananing'inia...
  18. kavulata

    Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
  19. U

    Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
Back
Top Bottom