yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, WhatsApp yako imefungiwa? Fanya haya

    Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp. Kuna...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dondosha ''MBONA'' yako nyingine hapa mdau👇😂😂

    (1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake wanashangilia timu pinzani😂 (5) Mbona kocha haingii kusaidia team yake na yeye ndo anajua kuliko wao😂
  3. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  5. JamiiForums Tanzania Furaha yako

    Kuwa na furaha ni uamuzi tu. Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha. Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha. Unawajibika kwa furaha yako. Zipo siku unaweza kuwa na dhiki ila unaweza kuchagua kuwa na furaha ili...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni hodi mtafunguliwa ni maneno ya Mungu mwenyewe. Kwanini hujibiwi maombi yako?

    Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako. Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi. Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu, sijui Mungu hufanya polepole au hata kusema kuwa Mungu hayupo. Muulize Mungu kwanini nimeomba kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Tuambie timu yako ilitolewa hatua gani CAFCL?

    Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote Raja Casablanca ndani ya misimu mitatu mfululizo wanatolewa hatua ya robo fainali Mpaka sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

    Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi? Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo Binafsi sina ila ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Tunauza tairi za magari makubwa na madogo kwa bei nzuri kabisa

    Karibu Tairiyako General Enterprise Call/WhatsApp :+255621560797 Tunapatikana Arusha na Dar es Salaam EMAIL:Tairiyako@tairiyako.com obedimollel20@gmail.com
  10. JamiiForums Tanzania Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

    Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

    Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
  12. JamiiForums Tanzania Fulsa Yako mpenzi

    Natafuta mpenzi sifa yake hizi hapa Awe mkazi wa Arusha , Awe mwalimu wa mazoezi good day
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Njia 5 kuongeza kipato, nje ya utaratibu wa ajira yako ya kudumu

    Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea. 1. Blogger. Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  17. JamiiForums Tanzania Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Fanya malengo yako yawe ya kwanza sio mwanamke

    Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana. Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako. Achana na wazo mwanamke ndo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania wewe unapenda nyumba yako iweje

    kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya...
  20. JamiiForums Tanzania Una majibu ya kukera sana we baba kama sura yako

    Wakuu, Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu. Ghafla bila hiyana akanambia nimekuwa na majibu (comments) ya/za kukera, lugha mbaya zenye kukwaza. Nimekuwa mzee mkorofi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…