yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  2. JamiiForums Tanzania Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

    Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu. Wasaniii mjitafakari Sana
  3. JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  4. JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za ndugu kutofurahia mafanikio yako

    SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰 Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu: 1. Wivu na Husuda: Wakati mwingine, ndugu wanaweza kuhisi wivu kwa mafanikio yako, hasa kama wao wanajiona hawajafanikiwa au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

    Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh. Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
  7. JamiiForums Tanzania USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  9. JamiiForums Tanzania Shahada yako si tiketi ya mafanikio

    Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua. Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui kusimamia fedha zako vizuri, diploma yako haina msaada mkubwa kwenye maisha halisi. Fikiria hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Unapanga Bajeti ya Hela Yako ya Mshahara au Unatumia Tu na Kesho Itajijua Yenyewe?

    Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua. Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yako: Mtindo gani wa maisha hapa ni hatari zaidi kwa changamoto ya uzito?

    SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
  13. JamiiForums Tanzania Herufi ya kwanza ya jina lako imebeba tabia yako

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu nimeufanya kwa muda mrefu kwahiyo ninacho kisema hapa ninauhakika nacho...
  14. JamiiForums Tanzania CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    Natumai Mu wazima wa afya.. Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu.. Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5.. Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote.. (Achana na Skimming unamuuliza...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  17. JamiiForums Tanzania Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  18. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu) Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
  19. JamiiForums Tanzania Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze haya kwenye maamuzi yako

    1.Kila zama huja na jambo lake lepesi usipolifanya basi kesho utalifanya likiwa ghari zaidi. 2.Bahati inaweza kurudi mara ya pili lakini inaweza kukuta haupo kwenye mazingira rahisi kama ulivyoipoteza awali hivyo utagharamika. 3.Usiamue kufuata mihemko ya wengine kwa sababu matokeo kila mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…