yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila hesabu biashara yako itakufa

    Jacob alikuwa mvulana mwenye hamu kubwa ya kufanikiwa. Aliamua kuanzisha biashara ndogo ya kuuza viazi karo kwenye mtaa wa jiji. Kwa bidii, alinunua viazi, kukaanga, na kuanza kuuza kwa shilingi mia moja kwa kila kikapu. Lakini Jacob hakupenda hesabu. Alidhani kuwa biashara ni kuuza tu na...
  2. JamiiForums Tanzania EWE BINTI TAMBUA THAMANI YAKO.

    Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojibainisha, kwenye jamii ya leo kumekuwa na mabinti au wanawake wengi wasiotambua thamani yao. Ndo maana leo hii huko mashuleni, vyuoni na makazini mabinti wengi wamejengewa sifa zisizo nzuri. Mabinti wengi wanaruhusu miili yao kuchezewa na wanaume...
  3. JamiiForums Tanzania Je Umeshaanzisha Biashara yako?

    Wasiliana nasi ili upate huduma saidizi za kuanzisha biashara ambazo zinahusisha Masuala yote ya msingi kwa ajili ya kuanzisha kampuni ikiwamo: Kusajili Biashara yako BRELA, TRA, LESENI, na VIBALI Vingine Kusajili katika mfumo wa NEST pamoja na kuomba tender za serikali Kufungua Akaunti Bank...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Unasumbuka na nafasi ndogo nyumbani? Umekuwa ukitamani fanicha ambazo hazichukui nafasi kubwa lakini bado zinapendeza na kudumu? Afro Eco Wood Designs imekuletea suluhisho: fanicha za kisasa zenye ubunifu wa hali ya juu zinazokufaa wewe unayeishi kwenye nyumba yenye nafasi ndogo – iwe ni chumba...
  5. JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  7. JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  8. JamiiForums Tanzania Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

    Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji. moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
  9. JamiiForums Tanzania This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa

    Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa Neno la Mungu Katika Isaya 54:17, Neno la Mungu linasema, “kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki...
  11. JamiiForums Tanzania Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  12. JamiiForums Tanzania Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

    Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
  14. JamiiForums Tanzania Heche na Timu yako Bila matusi inawezekana

    GTs, Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani. Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi. Pia fanyeni mchakato mje na jina...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Fanya settings hizi kulinda accounts yako ya Meta

    HATARI TATU ZA KISIRI KWENYE META UNAZOPASWA KUZIZIMA MARA MOJA! Katika ulimwengu wa kidigitali, kila ‘like’ unayobonyeza, kila kitu unachoangalia, na kila chapisho unachotazama—kinafuatiliwa. Meta (Instagram, Facebook, na bidhaa zake nyingine) hutumia taarifa zako kukut bombard na matangazo...
  16. JamiiForums Tanzania Soma hapa umuhimu wa kuwa na landscape design nzuri kwenye nyumba yako wale wapenda garden

    Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji. 3. Faragha...
  17. JamiiForums Tanzania Yako mambo ambayo yapasa Lissu asikilizwe

    Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo: Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa. Hili Lissu asikilizwe. Kama ni uongo sema ni uongo kwa mukibu wa dini yako. Ni kweli wagombea wa...
  18. JamiiForums Tanzania FROM PAGALE TO STUNNING MANSION THIS IS WHAT WE CAN DO UKITUPA KAZI YAKO 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  19. JamiiForums Tanzania Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

    Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…