yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Naomba maoni yako: Mtindo gani wa maisha hapa ni hatari zaidi kwa changamoto ya uzito?

    SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
  2. Herufi ya kwanza ya jina lako imebeba tabia yako

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu nimeufanya kwa muda mrefu kwahiyo ninacho kisema hapa ninauhakika nacho...
  3. CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
  4. Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    Natumai Mu wazima wa afya.. Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu.. Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5.. Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote.. (Achana na Skimming unamuuliza...
  5. VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  6. Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  7. Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu) Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
  8. Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  9. M

    Jifunze haya kwenye maamuzi yako

    1.Kila zama huja na jambo lake lepesi usipolifanya basi kesho utalifanya likiwa ghari zaidi. 2.Bahati inaweza kurudi mara ya pili lakini inaweza kukuta haupo kwenye mazingira rahisi kama ulivyoipoteza awali hivyo utagharamika. 3.Usiamue kufuata mihemko ya wengine kwa sababu matokeo kila mmoja...
  10. Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  11. Unahisi biashara yako inasuasua? Huenda hii ndio sababu kuu kwa 99.9%

    Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa. Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
  12. Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  13. Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako

    Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi Thread 👇👇 1. Target watu wengi kwa...
  14. Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  15. Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

    Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
  16. Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  17. Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  18. Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  19. Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)

    Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread) Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe. Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja. Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo. Siri ya biashara inayojiendesha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…