yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

    Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa. Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa. Baadaé...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Soma Hii Kama Unataka Kuanzisha Biashara Ya Kukutengezea Pesa Ndani Ya Mwaka 2026

    Rafki Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu Na, Kitu Hicho Ni Soko La Bidhaa au Huduma ambayo unaenda Kutoa au Kuuza Na je Soko Ni Nini? Kwa Mujibu wa Stefan Georgi...
  3. JamiiForums Tanzania CP Faustina Shilogile: Ukimuona polisi chukulia kama umemuona ndugu yako

    Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester. Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na...
  5. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

    Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31. Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
  7. JamiiForums Tanzania Ukiajiri ndugu zako kwenye biashara zako una 95% za kufail

    Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa sana za yeye kwenda kuharibu. Bora uajiri mtu usiemjua kuliko ndugu yako, Ndugu zetu tunawapenda...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

    Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa.... Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1. Mtaji wa Kampuni Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Usifanye sehemu ya biashara yako kuwa kama chumba chako

    Kuvua viatu ILI unihudumie hiyo haipo na siwezi kununua au kwenda maeneo yenye sheria HIZO HATA kama Nina viatu vya kupachika.. Naingia pokea PESA yangu utafanya usafi hutaki subiri jamaa ZAKO iwe biashara ndogo au KUBWA jifunze biashara sio maghetoni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

    Habari mjasiriamali, Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA. 1. Copy ya TIN certificates za directors Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

    Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa, mimi nina Perfume Nail cutter Lotion Body spray Lip gloss Aftershave Tweezers bila kusahau mafuta ya nywele So what am I missing here?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako anaweza kujua jina lako

    Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako au hata akaunti zako za mitandao ya kijamii Nauliza hivyo kwa sababu Leo mchana Kuna mwanadada...
  15. JamiiForums Tanzania Maamuzi ni yako

    Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka Drug dealer= 1 siku 300million NB, ni makadirio sijaangalia scale zao...
  16. JamiiForums Tanzania Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  20. JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…