yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je , wajua maana ya taa za viashiria hivi kwenye dashboard ya gari yako na rangi hizi zinavyomaanisha.? Soma hapa tumekuwekea ufafanuzi.

    Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
  2. JamiiForums Tanzania Miliki Sender name ya ofisi yako kwa matumizi ya Bulk SMS

    Ni rahisi sana, sisi ONFON MEDIA tunakutengenezea mfumo wa Bulk SMS buree na msg chache za trial. Baada ya hapo utakuwa na hiyari ya kununua msg toka kwetu Kwan ya matumizi ya ofisi yako. Bulk SMS inafaa kwa; Promotion Kupush taarifa Kukumbusha ada kwa shule Kuweka appointment na wagonjwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

    Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake. Je nifanye nini hili roho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TIMIZA MALENGO YAKO 2026

    Habari Kila mmoja wetu ana malengo yake hususani ya kiuchumi, na anahitaji kuyatimiza lakini changamoto kubwa huwa ni pesa. Leo nimekuletea FURSA ya kupata mkopo Kwa urahisi na haraka Kwa watu wa aina zote Tunatoa mikopo Kwa *wafanyabiashara wakubwà na wadogo Watumishi wa umma Mikopo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu HD Events kwa shughuli yako.

    Una HARUSI, SEND-OFF, GRADUATION, KOMUNIO, KIPAIMARA, VIKAO, MICHANGO? Wasiliana nasi tukupatie kadi nzuri ya kidigitali itakayokuwa rahisi kusambaza kwa wageni wako wote na ya kipekee sana! Kwanini ununue kadi zetu? Timu yetu inafika ukumbini kwako ku-scan kadi. Tutatuma SMS za ukumbusho bure...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Ufanye nini iwapo Kampuni yako iko Dormant?Inakuumiza Kichwa?

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za Ujenzi wa Taifa. Leo nimeleta andiko dogo na fupi najua litawasaidia wengi.Kuna watu waliamua kuanzisha Biashara wakiwa na maono fulani au matarajio fulani.Hata hivyo baada ya kuanzisha biashara kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  9. JamiiForums Tanzania Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

    "Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" . Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais. Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans bwatuka. Hotuba yake inakakosa mvuto, vionjo. Anaongea kama kapewa nafssi asalimie wafiwa. Hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  11. JamiiForums Tanzania Ukifanya zinaa haya ndiyo majina utakayoitwa. Tafakari kabla ya kuzini

    UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
  12. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kwenye safari yako

    Maisha ya kijana ni safari ya kujitafuta. Ni kipindi cha ndoto, nguvu, hamu, makosa, maumivu na maamuzi makubwa. Wengi huingia hatua hii wakiwa na matarajio makubwa—lakini hukutana na uhalisia mgumu kuachwa, kukataliwa, kukosa ajira, kukosa fedha, presha za marafiki na tamaa za mwili. Ndipo...
  13. JamiiForums Tanzania Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  14. JamiiForums Tanzania Unahitaji kukuza au kuongeza mauzo kwenye bidhaa au huduma yako?

    Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest. Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
  15. JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  17. JamiiForums Tanzania Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

    Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
  18. JamiiForums Tanzania Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

    Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom. Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
  19. JamiiForums Tanzania PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  20. JamiiForums Tanzania Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

    Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi. Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…