Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee".
Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa.
Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa.
Baadaé...