yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Demokrasia si kwa ajili yako na mimi. Ni mfumo wa kuwaserve elites.

    Mfumo wowote wa utawala huwa unawekwa na watu walioshika uchumi. Upo kuwaserve walioshika uchumi. Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kwenye ukabaila kunakuwa na mabwana(feudal lords/aristocrats) na watwana(serfs). Mabwana huwa wanamiliki eneo kubwa la ardhi. Wanawapangishia watwana maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Vipi umeshawahi kuharibu kitu cha rafiki yako? Mlimalizanaje?

    yaani unaachiwa kitu na rafiki yako mfano laptop mara inakuzimikia na bahati mbaya kuna vingine hata ukipeleka kwa fundi havifai tena kutibika au spea unakosa. hapo ni mawili ulipe pesa au urafiki pia ufe mazima. mm kama mimi sinaga tabia ya kulipisha mtu kitu. iliwahi nitokea nimenunua...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Credit Report yako? Taarifa yako ya UKOPAJI?

    Habari za wakati huu; Kwa wafanyabiashara na wawekezaji,kukopa ni sehemu ya ya kawaida kabisa ya maisha.Hata hivyo kuna wakati kwa kujua au kutokujua tunaonesha tabia ambazo zinaathiri uwezo wetu wa kukopa na wakati mwingine kutufanya tusikopesheke kabisa. Kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwaheri Irene, nyuma yako mbele yetu, Innalillah Wainna Illah Rajuun, tusipuzie wanaotaka msaada na kuita matapeli

    Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa nikamwambia bro kama una wasiwasi usitoe sio uwe chanzo cha wengine kutotoa. Mapema majuzi nilikua...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  7. JamiiForums Tanzania Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, Nini maoni yako?

    Habari wakuu? Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako? Karibuni Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni wala hazichukuliwi na malaika, bali zinabaki hapa duniani kwa ajili ya kuendeshea shughuli za...
  8. JamiiForums Tanzania Showcase za kuhamishika. Nipe oda boss nkutengenezee yako

    showcase za kuhamishika.. boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako.. seble yako inakuwa 🔥🔥 boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako.. tupo dar mbagala 0692477610
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Indira Gandhi alipomwambia Nyerere, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? 🤔.

    Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎. Mshana Jr Mbaga Jr Mzee...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

    Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia? Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
  11. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jihadhari Sana na Kitu kinaitwa Vodabima. Unaweza Kupoteza Pesa Yako. Ni Mfumo wa Kubahatisha

    Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima. Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  13. JamiiForums Tanzania Ni tukio/kituko gani ambacho alifanya dada yako wa kazi hapo nyumbani hutosahau?

    Salute! Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi. Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mfumo wa kisasa kwa kampuni au organization yako?

    Peculiar Enterprises Ltd tunabuni na kutengeneza mifumo ya kisasa kwa biashara, kampuni, taasisi na organizations za aina zote. Huduma zetu ni pamoja na: ✅ Corporate & Company Management Systems ✅ Project Management Systems ✅ Financial & Business Management Systems ✅ Websites za kampuni na...
  15. JamiiForums Tanzania Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  16. JamiiForums Tanzania Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
  17. JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania nini kilikufanya uanzishe ile ID yako nyingine ?

    Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Huwezi kuua watu bure Ulimwengu mzima ukanyamaza juu yako

    Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili. Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa. Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…