ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo, watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya Mashekh Ubwabwa hawajatokomea kusikojulikana nawatwanga Nyundo ya Mwisho

    GT Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
  4. JamiiForums Tanzania Kabla ya Mashekh Ubwabwa hawajatokomea kusikojulikana nawatwanga nyundo ya Mwisho

    GT Nadhani sasa wanaelekea kibra baada ya kubwekabweka na pengine huenda wasirudi.tena soma hizi facts about them.
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

    Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni wapinzani Wakaanza kubambikia kesi Wakawa wanateka Wakawa wanateka na kupoteza watu Wakawa wanaua...
  6. JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi wa Kufahamishana Mafao ya Mwisho wa Mwezi

    Waajiriwa wengi hutegemea kupata mafao yao ya kazi ikifika mwisho wa mwezi, yaani mshahara wao. Hata hivyo kuna waajiri wengine, hasa serikali ya Tanzania, huwa hawatimizi makubaliano ya kuwalipa mafao ya mwezi waajiriwa wao inapofika mwishio wa mwezi. Uzi huu ni wa kuhabarishana kuhusu waajiri...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyaona kuelekea robo ya mwisho ya mwaka huu (vuli).

    1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani. 2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  14. JamiiForums Tanzania Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mikopo 2025/2026 yasogezwa

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
  17. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  19. JamiiForums Tanzania Karamu ya mwisho na majigambo ya mtandao

    Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi 1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha 2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya mwisho ku file taxes

    Leo ni tarehe 5 unatakiwa ku file taxes zako kabla ya Saa 6 usiku. And by the way Nina E-book yangu inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania" Ni FREE e-Book, nitumie meseji WhatsApp kupitia namba 0678131068 nikutumie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…