Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.
Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo...