wote

  1. JamiiForums Tanzania Hii ni kwaajili ya Watanzania wote waliopo, hii ni fursa ya kipekee, maelezo yote yapo kwenye Tangazo

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  3. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Wakenya wote waliomo humu na nje.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/fyatu-mfyatuzi-waki-nyaa-mkome-kutaka-kutovuka-na-kutuvurugia--5059584
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  5. JamiiForums Tanzania Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

    Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari. Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina...
  6. JamiiForums Tanzania Si wote tunamemuaga Luca Modric!? Yes Mbape anaweka record zake akikaribishwa barnabeu

    Yes Leo mji wa Madrid umemuaga rasmi mtakatifu Luca endapo atacheza tena hapo basi ni kama legend na sio ndani ya galactico Nami nasema glasias Luca
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania wote tushikamane katika hili

    Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu. Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena. Hata hivyo, ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  9. JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuwa wanawake wote si sawa?

    Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

    Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

    Tanzania- full dikteta Kenya - full dikteta Uganda - full dikteta Rwanda- full dikteta Burundi- full dikteta Kongo-full dikteta Mozambique-full dikteta Tunazidiwa na nchi Kama Zambia Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa Sheria Haki Uwajibikaji Uwazi Na kukomesha...
  13. JamiiForums Tanzania Watu mliosoma wote kuanzia shule ya msingi, sekondari na vyuo hupotelea wapi?

    Habari za mapambano wakuu, Kuna swali huwa najiuliza sana haswa wiki inapoanza Jumatatu napokuwa naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa umma kama daladala na mwendokasi...
  14. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  15. JamiiForums Tanzania Maghayo & Bichwa KOMWE ndio Couple bora ya Muda wote kuwahi kutokea JF

    Mzuka wana Jamvi ? Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!! Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Mda wa ndugu zetu wahzabe kuwatafuna nyani wote waliokuzunguka

    Leo sitoi salamu ,ila uwepo wenu wanajf umezingatiwa popote ulipo . Wapo watanzania wenzetu wahadzabe nchini mwetu/ mwao, hawa ndugu zetu ni fisi tu hawamtafuni kwa sababu wanasema anakula watu , hivyo tofauti na fisi ,mnyama yoyoete akipita kwenye kumi na nane zao lazima atafunwe. Na kwao...
  17. JamiiForums Tanzania Rest in Peace dear Brother Charles. Ninatoa Pole kwa Wanafamilia wote. Balozi Mahmoud Kombo.

    Rest in Peace dear Brother Charles. Ninatoa Pole kwa Wanafamilia wote. Balozi Mahmoud Kombo.
  18. JamiiForums Tanzania Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…