Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...