wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
  2. Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  3. DOKEZO Hii tume ya Rais ikimaliza iende kuchunguza Wizara ya Ardhi. Watu wanaporwa viwanja wahusika wako maofisini mateso makubwa

    Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk. Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
  4. K

    Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  5. M

    Wizara ya Elimu Okoeni Kizazi

    Tunapongeza sana maboresho yanayofanyika kwenye Elimu yetu haswa wakati huu wa serikali ya awamu ya Sita. Mheshimiwa Rais tunaomba umwagize Waziri wa Elimu ahakikishe kuwa wanafumzi wa shule za msingi na haswa binafsi wanapata elimu inayoendana na hadhi na umri wa wanafunzi husika. Tunayo...
  6. Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  7. Wizara ya Habari na Taasisi mnaosimamia maudhui kwenye vyombo vya habari hasa radio & runinga hamlioni hili?

    Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia. Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
  8. Wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) itataleta maendeleo makubwa na ya haraka zaidi kwenye sekta ya mafuta na gesi

    Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy). Wizara ya...
  9. J

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Jamiiforums kupitia ukurasa wake wa Twitter imeandaa space ambayo itatoa fursa ya dakika 2 kwa Wananchi kutoa maoni au (kupaza sauti yao) kuhusu suala lolote linalowagusa katika Wizara yoyote hapa nchini. Mjadala huu unatarajiwa kuongozwa na Mwandishi wa Habari Sammy Awami Ili kupata nafasi...
  10. Wizara ya Maliasili hili ni tatizo

    Habari wana JF, Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo, gharama na malipo ambayo inaonekana hakuna wa kuhoji uhalali wake au umuhimu wake. Kuachilia mbali kuwa...
  11. Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

    Jamani someni na hii hapa
  12. Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

    Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa. Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
  13. Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  14. M

    Aliyekuwa katibu Mkuu wizara ya fedha 'mtoto wa dada' yuko wapi?

    Aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha awamu ya tano Kulwa James 'mtoto wa dada' yupogo wapi siku hizi? Haya maisha acheni kabisa sponsor akifa. johnthebaptist
  15. D

    Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  16. Wizara ya Habari/Idara ya Habari Maelezo: inakuwaje channel/mitandao ya habari ya serikali inafikia miaka mitano haina habari mpya? Mnawapimaje?

    Maafisa Habari waliajiriwa kwa ajili ya kuunga daraja la mawasiliano kati ya serikali na wananchi. Inafikia miaka mitano mtandao rasmi hauna habari yoyote mpya. Nadhani Sasa wawekewe malengo ya habari zisizopungua 15 kwa mwezi kwa Kila halmashauri au Ofisi ya RAS. Kila Mkoa una maafisa hawa...
  17. Nitateua Makatibu Wakuu wa Wizara Wanajeshi waliokula Kiapo cha Kifo nikishika hatamu

    Wakuu KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika. ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
  18. Wizara ya Nishati yalaumiwa kumkwamisha mwekezaji umeme wa upepo Singida

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida. "Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais...
  19. Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  20. Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…