wizara ya nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania na kuipunguzia mzigo wizara ya Nishati

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  2. N

    Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye Wizara ya Nishati. Tumechoka!

    Itoshe tu kusema kwa sasa hatuoni faida yoyote ya waziri wa nishati, huduma mbovu na za hovyo za sasa kwa mara ya mwisho tuliziona miaka ya 2012 huko Hapa nilipo mpaka sasa hakuna umeme tangu saa mbili asubuhi sasa hivi inaelekea saa 12 jioni hakuna umeme, Mnategemea sisi wananchi...
  3. benzemah

    Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  4. Chendembe

    Tunasubiri kauli ya Waziri wa Wizara ya Nishati juu ya bei elekezi ya kuunganishwa umeme

    Wanabodi, bila shaka tunafahamu kauli za mtangulizi wa Wizara ya Nishati kuhusu malipo ya gharama za kuunganishiwa umeme ya TZS 27,000. Nafikiri tuliowengi tuliunga mkono tamko hilo kwa mantiki kwamba miundombinu si mali ya anaeunganishiwa. Hata hivyo, kwa maoni yangu ni Kama vile kumekuwa na...
  5. The Boss

    Waziri Medard Kalemani asiondolewe Wizara ya Nishati

    Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania. Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote. Kuna madadali wa kununua umeme wa gesi wameanza kampeni ya kumchafua na kumchomekea Mama wale matapeli wa zamani Kama Professa Muhongo na...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  7. H

    Barua ya wazi kwa Wizara ya Nishati: Nashauri uandaaji wa rasilimali watu ya mafuta na gesi usimamishwe

    Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo. Idadi...
  8. Stuxnet

    Asilimia 66% ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Umeme yaenda kwenye Mradi wa Stiglers. Je, imekaaje kiuchumi?

    Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite. Angalia kiambatisho hapo chini.
  9. beth

    Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Richmond mpya wizara ya nishati

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi anakabiliwa na lundo la tuhuma ikiwa ni pamoja na kilichoitwa kujipa mamlaka ya kuendesha Shirika la Umeme la Taifa (Tanesco), imefahamika.Aidha, Maswi anatuhumiwa kushinikiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo...
Back
Top Bottom