wizara ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya 'Tank la Maji' kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanyika leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025

    Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ Viongozi mbalimbali wa chama tawala na serikali, pamoja na viongozi wa dini, wamewasili kwenye ukumbi wa Mlimani City kushiriki...
  4. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbezi Beach hakuna maji karibu wiki sasa huu ni zaidi ya mgao, mnatukomoa!

    Wakuu, Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji. Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aweso: Rais ametoa maelekezo ni marufuku kumkatia maji mwananchi wa Mwanga, Same kipindi cha sikukuu na wikiendi!

    Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh: Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KERO Hata ukiwa na pump tabu ya maji iko pale pale kama asiyekuwa nayo kutokana na presha ndogo ya maji. Wizara ya Maji tuambieni ukweli

    Wakuu, Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia! Arooo, sasa hivi kwanza maji hayatoki, yakitoka ni usiku, halafu presha ni ile ya kuchululu, yaani hata pumzi hazifanyi kazi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hali ya upatikanaji huduma ya maji ni mbaya kiasi hiki? Wizara ya Maji tuambieni ukweli wa video hii

    Salaam Wakuu, Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa? Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji

    Wakazi wa Bongi, wilayani Handeni mkoani Tanga, ambao walikumbwa na changamoto ya uhaba wa maji na kulazimika kutembea umbali wa kilomita 3 hadi 4 kutafuta huduma hiyo, sasa wanapata maji karibu na makazi yao kufuatia juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane (8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo itasaidia kupunguza gharama za kuzoa majitaka kutokana na ufinyu wa maeneo ya kuyahifadhi...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Bonyokwa maeneo ya kwa Pasua (Maarufu kwa Mramba) hatuna maji mwezi wa 7 sasa

    Sasa ni mwezi wa 7 hatujawahi kupata maji ya Dawasa. Mateso tunayopata ni makubwa mno! Majirani zetu wote wanapata maji ila sisi hatuyapati hayo maji kabisa. Tangu kipindi hicho tunanunua maji tu. Kwa sasa hatupati maji kwasababu sisi tupo eneo lenye muinuko kwa hiyo maji yahawezi kupanda huo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Wakuu salam, Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya kawaida, sio kwamba ni shule au labda unafanya biashara ya kuuza maji. Tena cha kushangaza zaidi ni...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji

    Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100 inaelekeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia asilimia 95 mjini. Utekelezaji wake ni kwamba Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji ijikite kupeleka huduma maeneo yasiyokuwa na maji badala ya kufikiria kuchukua miradi ya wanavijiji

    Natamani waziri husika awaelekezi hivi; Wanapofika maeneo ya vijijini ambapo wananchi wamehamasika kwa gharama zao wenyewe wakajitengenezea miradi yao ya maji safi, wasiwaingilie miradi yao. Hii nchi ina maeneo mengi yana shida kubwa ya maji, hivyo wajikite kupeleka maji maeneo yasiyokuwa na...
  15. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya maji yanufaika na ziara ya Rais Samia Korea

    WIZARA YA MAJI YANUFAIKA NA ZIARA YA RAIS SAMIA KOREA Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema ziara iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Korea Kusini imetengeneza mahusiano mazuri na kuchangia kupatikana kwa fedha kwa ajili ya mradi mikubwa wa maji safi na usafi wa mazingira. Akizungumza...
  17. P

    JamiiForums Tanzania KERO Je, Dar kuna Mgao wa Maji? Wizara ya Maji tupeni majibu. Eneo ulilopo hali ya upatikanaji wa huduma hii ukoje?

    Salam Wakuu, Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update. Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa baadhi ya masaa ili wengine wapate jambo linalofanya baadhi ya maeneo kupata maji kwa presha ndogo...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mfichue anayeiba maji ujipatie milioni moja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso: Maji yapo, aagiza wafanyakazi wa DAWASA kutokaa ofisini "Wananchi wanahitaji maji"

    WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa. Waziri Aweso ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2024 katika ziara ya kukagua...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
Back
Top Bottom