wizara ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini

    Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairob Kenya Mh.Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary. Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za DAWASA Dar Es Salaa kimelenga kupanua wigo wa Mashirikiano...
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Madale Mbopo maji yanatoka machafu, tunaomba mamlaka ichukue hatua

    Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwenye vyanzo vya maji Dar hatuna ukame tatizo kwenye mitambo ya kuchuja na kusukuma maji

    Wakuu salam, Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024. "Mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar kwa siku ni mita za ujazo laki sita na themanini na tano sawa na lita milioni sit ana themanini...
  4. P

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo riverside hatuna maji kwa siku 14 sasa

    Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini.. Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Emmanuel Kalungwana kortini kwa wizi wa Mita za Maji za DAWASA

    Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ambalo ni kosa la uhujumu uchumi Kalungwana amefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa shtaka...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaimwagia sifa Wizara ya Maji kwa kazi nzuri Dar es Salaam

    Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji wake...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya maji kwa ubunifu wa hatifungani ya Tanga UWASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na kuimwagia sifa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA ) kwa ubunifu na uuzaji wa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara za Maji na Kilimo kushirikiana miradi ya maji na umwagiliaji ziwa Victoria na Tanganyika

    Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi kushirikiana pamoja katika miradi ya maji na umwagiliaji ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Wizara hizo. Viongozi hao, Mhe. Jumaa H...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso afanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa DAWASA na kusikiliza changamoto zao

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza ushauri, changamoto kwa dhamira ya kudumisha msingi imara wa mahusiano na mashirikiano.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Mpango aipongeza Wizara ya maji kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji Nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi mzuri na utejelezaji wa miradi ya maji nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

    Waziri Aweso aunguruma Morogoro Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji kuna hoja hapa inahitaji majibu

    Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe! Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja
  15. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Wizara ya Maji

    Ndgu waandishi wa habari, Wizara hii ina historia kubwa. Iliwahi kushikwa na wakubwa na watu maarufu. Haijawahi kuboronga. Haijawahi kutokea migongano ya kimaslahi. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa maji yapo na wananchi wanahangaika kwa sababu za kisiasa wakakosa maji. Hili jambo sasa lipo.
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Wizara ya Maji haina deni na Rais Samia

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani Mkoa wa Dar es salaam. Mhe Aweso ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa ziara yake ya siku tano...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Safi sana Waziri Jumaa Aweso kwa kuwatumbua vigogo Wizara ya Maji wasiojitambua

    Kuna wakati nilikuwa nawalaumu Wanasiasa ila Kwa sehemu kubwa incompetent leaders and staff ndio wamekuwa wanachangia shida Kwa Wananchi na mambo hayaendi. Hongera sana bwana Aweso Kwa kumtumbua huyo Kigogo wa Dawasco asiyetimbua.👇👇
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi

    AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
  19. Cheology

    JamiiForums Tanzania KERO Saranga wilaya ya Ubungo ina tatizo kubwa la upatikanaji maji

    Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
  20. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Karibu wiki nzima Kimara hatuna maji. Shida nini?

    Karibu wiki mbili sasa tunatembelea ringi maji hakuna mitaa ya Kimara. Shida ni nini Dawasa?
Back
Top Bottom