Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma.
Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekanusha malalamiko ya Taasisi ya Al-Malid kuhusiana na umiliki wa kiwanja Na 8 Kitalu A kilichopo Nzuguni jijini Dodoma.
Akizungumza jijini Dodoma leo tarehe 23 Februari 2026, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Leonard Akwilapo...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibwa, aliyedaiwa kubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwa kwenye maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, Geita...
Wizara ya Ardhi, ikiwa wizi na utapeli wa Viwanja na Nyumba kwa kutumia Hati halalali ya Wizara ya Ardhi Tanzania unafanikiwa, je ni Mwananchi yupi atakayewaamini?
Tafsiri yake ni kuwa Hati yenu imenyewa
Imekuwaje mkakubali kutoa Hati batili?
Je Wizara mnapotenda makosa haya mnatengeneza...
Habari wakuu wote nawasalimu
Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi
Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na
1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili
Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
Kumekuwepo na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wananchi kununua maeneo ambayo yameuzwa kwa watu wengine, kuuziwa maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum (open spaces). Hali hii inatokana na ugumu wa wananchi kupata taarifa sahihi za umiliki wa maeneo hayo kupitia ofisi za ardhi, ambapo...
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo.
Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya "Fahari ya Tanzania" Wizara ya Ardhi natoa baadhi ya...
WADAU SEKTA YA MILKI WATAKIWA KUWA NA UMOJA
MWANZA
Wadau wa sekta ya milki nchini wametakiwa kuendelea kuwa na umoja ili kuhakikisha sekta ya milki inakuwa.
Hayo yameelezwa tarehe 17 Juni 2025 na Mkurugenzi wa Kitengo cha Milki Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Upendo...
Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa!
What was wrong with him? Can any of us speculate logically?
https://www.instagram.com/mangi_viwanja/reel/C73xMi-M6AJ/
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekamilisha rasmi mafunzo ya Usajili wa Miamala ya Hakimiliki za Kimila kwa Watendaji wa Vijiji pamoja na Wenyeviti wa Vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu.
Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo...
Sijui ni mimi tu ndiyo simsikii!
Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara.
Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa!
Huu ukimya ni wa...
wizara ya ardhi mpaka leo hii bado ina survey na kugawa/uza viwanja wakati kwa hali ya kawaida hiyo kazi walipaswa wawe walishamaliza muda na kukabidhi halmashauri husika.
Mkoloni alikuta mapori lkn alipiga kazi ndani ya miaka 10/20 nchi yote ilipimwa, maziwa, mito, bahari, kilimo wapi kilimwe...
Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inayojengwa Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Hayo yamesema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za...
Wakuu
Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania.
Pia, Soma
Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.
Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt...
A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25 kumalizika.
Mhe. Ndejembi ametoa agizo hilo Machi 05, 2025 wakati akizungumza katika kikao kazi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.