Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa rasmi.
https://youtu.be/DTSA0cQ6Xxk?si=aYZ8VP9NHdHoxlI_
Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza
The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU
VERSE.. 1. "CHID BENZ"
Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat /
Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/
Me na Amini nimezaliwa kushinda
Nimezaliwa jasiri hata Simba nitamwinda /
Wengine udhani ya kama naimba Uongo/
Kisa navyo flow Eti...
Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)
Kiitikio:
------------
Hii leo
Crazy GK Mwanafalsafa AY
Weka manyanga chini
Hivi sasa tupo hewani
Twakupa maneno matamu
Na yenye thamani
Verse 1: AY
-----------
Oya.! Navaa buti
Na full CBM
Nazama street
Ntapiga dili zaidi ya 12...
Kwa kweli leo baada ya kufungua redio yangu nimekutana na kipindi cha nani zaidi pale Redio One na waliopambanishwa ni Hussein Jumbe na Remy Ongala ambapo nyimbo Tano za Dr Remmy zilipigwa na tano za Hussein Machozi nazo zikapigwa.
Kilichonikera ni kukosekana kwa wimbo unaopendwa na...
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera
Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI"
AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee".
show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers.
Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24.
Sema nyakati zinabadirika.
There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t...
Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno.....
Natanguliza shukrani,
Nawatakia Christmas...
Watu wengi wamekua wakiuskiliza huu na umewahudumia sana lakini bila kujua ukweli ya kuwa huu wimbo umetengenezwa kwa AI. Ukiangalia kuanzia mpangilio wa sauti, mguso wa hisia na namna ulivyokaa kugusa mioyo ya watu huwezia amini kuwa hii ni AI, namna ulivyopangiliwa unazidi hata ubunifu na wa...
Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo.
Nay ameanika;
"Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
🎶 Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi? Chagua moja au zaidi na tuma list yako!
1️⃣ ‘Jingle Bells’
2️⃣ ‘Silent Night’
3️⃣ ‘We Wish You a Merry Christmas’
4️⃣ ‘Last Christmas’
5️⃣ Wimbo mwingine (taja chini 👇)
“Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi.
Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu.
Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.