wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya. Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya ni shida tupu

    Shida zenyewe ni hizi: 1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja. Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
  5. JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe na watoro Sugu mashuleni

    Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa...
  7. JamiiForums Tanzania TAMISEMI ingilieni kati manyanyaso haya ya wilaya ya Songwe

    Kwa heshima na taaadhima ninaomba malalamiko haya yawafikie tamisemi na wizara ya elimu. Imekuwa tabia ya muda mrefu sana kwa watumishi wanaofanya kazi katika halmashauri ya songwe kukaaa kituo kimoja kwa mda mrefu mfanyakazi anaweza kukaakituo kimoja zaidi ya miaka 13. Wafanyakazi...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  11. JamiiForums Tanzania Ili kuharakisha maendeleo kwanini wilaya zisipewe mamlaka zikiwa na wakuu wa wilaya wa kuchaguliwa?

    Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako." Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana kukisimamia kwa ufanisi. Urasimu na ukwamishaji huwa mwingi sana. Na hata mifano inaonyesha kuwa ni kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mikoa au Wilaya gani za Tanzania ambazo zinatia huruma kwa kuwa nyuma kimaeendeleo?

    Je, hali (kimaeendeleo) ikoje katika mkoa/ wilaya uliyopo au uliyowahi kupita katika harakati za kimaisha? Kuna baadhi ya wilaya na Mikoa, inatia huruma, mvua ikinyesha mnalala barabaran kwenye gari, wakati wa kiangazi suala la mafua na kikohozi baada ya safari Ni kawaida. Aina ya magari ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  14. JamiiForums Tanzania PSPTB: Mkuu wa Wilaya anapokuwa muhimu kuliko Professional Board

    Hii ni bodi ya Wataalamu Manunuzi na Ugavi. Imeshindwa kutoa matokeo ya mitihani ya watahiniwa tangu mwaka jana mpaka jana. Ikiwa ni mitihani ya vikao vitatu mfululizo yaani Agosti na November 2020 na Juni 2021. Wameshindwa kwa sababu Rais hajateua mwenyekiti wa bodi ambaye kisheria yeye na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Siasa katika kutenga eneo la kilimo na ufugaji katika Wilaya ya Simanjiro?

    Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji. Suala la kutenga eneo la ufugaji na kilimo ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji lakini kuna watendaji wasio na maadili...
  16. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania. Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali. Mpangilio umewekwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

    Ni matumaini yangu mu wazima..!? Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

    "Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet ===
  20. JamiiForums Tanzania Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…