A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali.
Mpangilio umewekwa kwa...
Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa...
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu.
Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka.
Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari.
Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya...
Habari wakuu.
Hivi ingekuwaje iwapo halmashauri za wilaya a mikoa ingepewa ruhusa ya kusaka wawekezaji popote duniani, kwa kujitangaza na kuwapa incentives zilizopo katika maeneo yao kama ardhi, kuwapelekea maji na kuwachongea barabara?
Mfano labda wilaya ya Mbinga itangaze kuwa inahitaji...
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI
Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni.
Programu hiyo...
Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali.
Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu amepangwa kufundisha hapo. Shukran sana.
Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa.
Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona kiongozi wa chama cha siasa tena mwenyekiti wa Wilaya kabisa bado ni mtumishi wa umma tena ni mkuu wa...
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.
Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.
Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto.
Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo yao ya kiutawala.
Sasa utakuta wapo nje ya jiografia ya huduma na pia unaanza gharama za ujenzi wa...
JE, WAJUA?
Maisha ya Kenani yanatupa Somo
- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa
- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO
- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.
- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.
- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.
- Mjumbe wa...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
Wilaya ya Handeni imejipanga kuhamasisha jamii kuondokana na imani za kishirikina, badala yake ijikite kwenye shughuli za maendeleo kwenye ngazi za kaya na vijiji.
Wakati yakielezwa hayo wilaya hiyo inatajwa kuwa na jumla ya waganga wa jadi 6,600.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Toba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.